Kuteswa kwa Kibanda: Kubenea aliumbua Jukwaa la Wahariri (TEF)

Status
Not open for further replies.
weka wazi kama unafaham waliotenda kwa mwanahabari huyu, unaweza kusaidia upelelezi na kukamatwa kwa watu hao kuliko kuandika au kulopoka, tunaomba kama unaundani halisi wa tukio hili tujuze.

fatilia alichokisema ktk kipindi cha jenerali on monday utaipata picha.ila kama wewe ni gamba na akili zenu za kushikiwa sorry sn!
 
upo sawa mkuu hawa waandishi hawana umoja njaa tupu kila mmoja ni shabiki wa wanasiasa basi kila siku wanamtukuza anaewapa bahasha

me naona bora hata wale wa bahasha kuliko hawa wanaoshinda jf kwa ujira wa buku 7 tu.
 
Huyu Kubenea ni Mwandishi aliyeteka mioyo ya watanzania wengi wazalendo katika nchi hii. BIG UP Saeed Kubenea,huwezi kufutika kirahisi katika mioyo yetu.
 
Jukwaa la wahariri ni janga kubwa sana hapa Tz, Kubenea alikuwa mtu mzuri sana ktk tasnia ya habari sio hao vilaza eti wahariri. Wahariri gani hawana akili?
 
Huyu Kubenea ni Mwandishi aliyeteka mioyo ya watanzania wengi wazalendo katika nchi hii. BIG UP Saeed Kubenea,huwezi kufutika kirahisi katika mioyo yetu.

Wengi wa waandishi wa habari wanaishi kwa kuegemea wanasiasa wanataka waandike nini! Kila siku wanawafuata na kuwauliza,"tuandike nini kinachokuhusu bosi" wengi wao wamejawa unafiki na kujipendekeza. Nadhani sasa wataanza kujifunza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom