Kutengeneza cheti cha necta

mangi waukweli

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
246
27
Wana bodi kwakua NECTA hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo itahesabika kwamba ni cha kufoji?

Na je hivi huku mtaani ni kweli kuna watu wanatengeneza kama kilivyo cha wanachotoa necta tusaidieni tuliopoteza maana necta wanatusumbua wanataka uwe unatembea na barua kuna sehemu zingine uwezi pata ajira kirahisi mpaka uonyeshe cheti
 
vya huku mtaani vinakua ni org kama vya necta kinachokua feki ni index tu lkn matirio ni yaleyale

ila kuna serila number kaka,,,jambo ambalo nadhan ni gumu,,,sidhan kama unaikumbuka serial number ya chet chako kwa sasa,nayo ipo kwenye system yao
 
kwani serial na index ni vitu viwili towauti au ni kile kile
 
Wana bodi kwakua necta hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo itahesabika kwamba ni cha kufoji? Na je hivi uku mtaani ni kweli kuna watu wanatengeneza kama kilivyo cha wanachotoa necta tusaidieni tuliopoteza maana necta wanatusumbua wanataka uwe unatembea na barua kuna sehemu zingine uwezi pata ajira kirahisi mpaka uonyeshe cheti

ukipoteza noti yako ya shiling elfu kumi, ukaamua kwenda kutafuta noti feki, je unaweza kutetea kumiliki hiyo noti feki kwa kigezo kuwa ulisha ibiwa noti yako orijino?.
kile cheti hakikuwa chako kilikuwa cha necta kikatolewa kwako, kama umepoteza na wamekupa document inayoonyesha ulipoteza basi tumia document hiyo hiyo, wewe ku-print feki ni kosa na unaweza kufungwa, ni hatari hiyo. kumbuka siyo kuwa hawakupi kingine kwakuwa hawawezi kuprinti kingine, huu ndo utaratibu wao.
 
huu utaratibu isifikiri watu wote wanauelewa chamsingi apo kama kuna watu wanaweza kutengeneza materia yale yale na unajua ni halala ata wakiangalia serial number tatizo liko wapi?
 
tofauti ya cheti na noti NOTI ni public use lakini cheti kina personal use na detail zilizo kwenye cheti ni personal si noti
 
Kunukulisha nyaraka wakati huna mamlaka hayo ni forgery. Inaweza kukuletea shida ikigundulika, hasa kwa nchi za wenzetu.
 
Na kama nili scan naweza kuprint na kutumia hiyo coloured copy?????
 
tofauti ya cheti na noti NOTI ni public use lakini cheti kina personal use na detail zilizo kwenye cheti ni personal si noti

ha hahah
academic qualification document is a personal use document?, you try it you'll see. why are you so interested into this illegal conduct?. you have got to understand that, the document issued by necta as a proof of the loss of your certificate is the only acceptable document in place of your lost certificate. as long as you have reported the matter, any attempt to fake certificate may lead you into prosecution kaka
 
huu utaratibu isifikiri watu wote wanauelewa chamsingi apo kama kuna watu wanaweza kutengeneza materia yale yale na unajua ni halala ata wakiangalia serial number tatizo liko wapi?

so wewe unafikiri cheti chako ni serial number tu? kama ni hivyo basi hizo copies ulizonazo si ungelitumia kama original, kwanini uende tena kuhangaika kufoji?
 
Back
Top Bottom