Kutengeneza cheti cha necta

Kutengeneza cheti cha necta

Cha mtaani hakina ule mhuri wa moto wanaita sijui holligram kwa wanaokumbuka wanisahhshe. Huwa ukielekeza juani unabadlika rangi. Huo ndio huonesha ufek maana material na kila kitu vnaweza kufanana lkn hapo Big No.
 
Wana bodi kwakua necta hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo itahesabika kwamba ni cha kufoji? Na je hivi uku mtaani ni kweli kuna watu wanatengeneza kama kilivyo cha wanachotoa necta tusaidieni tuliopoteza maana necta wanatusumbua wanataka uwe unatembea na barua kuna sehemu zingine uwezi pata ajira kirahisi mpaka uonyeshe cheti
ulikimbia umande au?? mkuu hamna shortcuts kwenye hizi mambo!!! nenda QT kafanye mambo kama uwez tulia msije endelea kuchachua elimu yetu bure!!!
 
Mhh!cha mtaani???????
 
Na kama mhusika ndugu yako amefariki,vyeti unavifanyaje?
 
ulikimbia umande au?? mkuu hamna shortcuts kwenye hizi mambo!!! nenda QT kafanye mambo kama uwez tulia msije endelea kuchachua elimu yetu bure!!!

hebu jaribu kuelewa mada hapo chini ishu siyo vyeti havijasomewa ni kwamba vimepotea so necta wanataka uwe una barua ya utambulisho hawakupi cheti kingine tatizo lipo kwenye ajira zetu bila ya original ni umejiweka kwenye kupunguzwa kwenye short list hakuna mtu atakaye kusubiri u proof kwamba una chet wakati wengine wapo wanavyo on hand so swali likaja je vya mitaani vinaweza vikawa na ubora ule ule? ni kama kutengeneza kipya
 
Cha mtaani hakina ule mhuri wa moto wanaita sijui holligram kwa wanaokumbuka wanisahhshe. Huwa ukielekeza juani unabadlika rangi. Huo ndio huonesha ufek maana material na kila kitu vnaweza kufanana lkn hapo Big No.
Dhuuu
 
Pasua kichwa NECTA yenyewe hadi leo ofisi yao iko Dar tu ni moja nchi nzima, pata picha hapo ndg mtizamaji
 
Wana bodi kwakua NECTA hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo itahesabika kwamba ni cha kufoji?

Na je hivi huku mtaani ni kweli kuna watu wanatengeneza kama kilivyo cha wanachotoa necta tusaidieni tuliopoteza maana necta wanatusumbua wanataka uwe unatembea na barua kuna sehemu zingine uwezi pata ajira kirahisi mpaka uonyeshe cheti
Hii Haina shida.
 
ukipoteza noti yako ya shiling elfu kumi, ukaamua kwenda kutafuta noti feki, je unaweza kutetea kumiliki hiyo noti feki kwa kigezo kuwa ulisha ibiwa noti yako orijino?.
kile cheti hakikuwa chako kilikuwa cha necta kikatolewa kwako, kama umepoteza na wamekupa document inayoonyesha ulipoteza basi tumia document hiyo hiyo, wewe ku-print feki ni kosa na unaweza kufungwa, ni hatari hiyo. kumbuka siyo kuwa hawakupi kingine kwakuwa hawawezi kuprinti kingine, huu ndo utaratibu wao.
Kaka hivi hawa print kingine na kukupa ukishapoteza kile chakwanza?
 
soma vizuri necta ukipoteza hawakupi kingine sasa utafanya vipi ikiwa mtu kakuibia
Aliyekwambia hawakupi ni nani?! Yaani wewe uende ukawaambie kuwa hujui cheti chako kipo wapi yaani kirahisi rahisi tu wakutengenezee kipya?!

Sheria inataka ujue cheti chako kipo wapi tena kwa ushahidi na maelekezo. Unaweza kuta umekimisplace chumbani kumbe kipo halafu wakutengenezee kingine halafu kesho na keshokutwa unakiuza mtu anakuja kukitumia kuombea kazi.
 
ila kuna serila number kaka,,,jambo ambalo nadhan ni gumu,,,sidhan kama unaikumbuka serial number ya chet chako kwa sasa,nayo ipo kwenye system yao
Serial namba ndio ileile iliyopo kwenye result slip,kwahiyo wakiichukua hiyo haina shida
 
Aliyekwambia hawakupi ni nani?! Yaani wewe uende ukawaambie kuwa hujui cheti chako kipo wapi yaani kirahisi rahisi tu wakutengenezee kipya?!

Sheria inataka ujue cheti chako kipo wapi tena kwa ushahidi na maelekezo. Unaweza kuta umekimisplace chumbani kumbe kipo halafu wakutengenezee kingine halafu kesho na keshokutwa unakiuza mtu anakuja kukitumia kuombea kazi.
Hata kiungue uwapelekee majivu na clip wakati kinaungua hupati kipya
 
Uzi wa 2012, je mwamba hakupanguswa 2016/17 na uhakika wa ngosha the mwendazake?
 
Back
Top Bottom