fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,692
- 9,294
Kama ukishindwa mahali nishtue hapa, nimeifanya hii kazi japo ni muda kidogo lakini naamini nitakumbuka zinavyo pikwa kwa mashine.hata hivyo naangalia utube na nimejua sasa mashine hufanyaje kazi
sawa shida yangu kubwa ni kwanini,nikiweka bisi nyingi zinaungua na hazipasuki,ndio naangalia huko utube,naona vitu vingi mno lakini bado sijaweza kujua ni kwanini,bisi ningi huungua tu na pili je nitumie blueband au mafuta? je niache dk ngapi mafuta yachemke kabla ya kuweka bisi?Kama ukishindwa mahali nishtue hapa, nimeifanya hii kazi japo ni muda kidogo lakini naamini nitakumbuka zinavyo pikwa kwa mashine.
nyeupe tuUnachoma za rangi ama nyeupe?
Sawa mkuu nitakujibu swali moja moja, ni hivi..sawa shida yangu kubwa ni kwanini,nikiweka bisi nyingi zinaungua na hazipasuki,
Mahindi naweka saizi ya kikombe kidogo cha chai,mafuta nimeka,nilijatibu kuweka kidogo,yakaungia,nikafanya tena nikaweka mengi bado yakaungua hivyohivyoSawa mkuu nitakujibu swali moja moja, ni hivi..
zinaungua na hhazipasuki kwa wingi kwasababu moja kati ya hizi ama zote kwa pamoja:
1. Unaweka mahindi mengi kwenye sufuria.
2. Unaweka mafuta kidogo sana kwenye sufuria.
Nakushauri tumia mafuta kwa sababu:je nitumie blueband au mafuta?
Ukiweka mahindi unaweka na mafuta moja kwa moja kisha unawasha mashine mafuta yakipata moto mahindi hupasuka yenyewe.je niache dk ngapi mafuta yachemke kabla ya kuweka bisi?
Punguza mkuu weka nusu kikombe mahindi uone matokeo yake, kisha ukishakuwa mzoefu wa mashine hata hiko kikombe kidogo cha chai unachoma vizuri tu. Hizo bisi nyeupe ni rahisi mno kuzichoma.Mahindi naweka saizi ya kikombe kidogo cha chai,mafuta nimeka,nilijatibu kuweka kidogo,yakaungia,nikafanya tena nikaweka mengi bado yakaungua hivyohivyo
ok ntajaribuPunguza mkuu weka nusu kikombe mahindi uone matokeo yake, kisha ukishakuwa mzoefu wa mashine hata hiko kikombe kidogo cha chai unachoma vizuri tu. Hizo bisi nyeupe ni rahisi mno kuzichoma.
πππ mkuu bisi nyeupe ni rahisi mno kuzichoma, mimi naweza kuzichoma hata ikiwa nimefumba macho.nyeupe tu
Sasa mimi zinashinda nyeupe ila natengeza kwa ajili kula tu hapa nyumbaniπππ mkuu bisi nyeupe ni rahisi mno kuzichoma, mimi naweza kuzichoma hata ikiwa nimefumba macho.
Shughuli ni bisi za rangi, wakati najifunza niliwahi kuziunguza zinafika hata beseni mbili wanakijiji walikuwa wanashangilia tu, maana walikaa hapo hapo kwenye mashine zikitoka zimeungua wanazizoa na kuzila, nilipata hasira hadi nikatamani kuachana kabisa na hizo bisi za rangi.
Kumbe sio za biashara, halafu sasa ukiweka mafuta mengi halafu mahindi yakawa kidogo sana, kitakacho tokea ni kwamba mahindi yatapasuka na kuruka ila zile za mwisho ambazo hubaki kwenye sufuria hadi uzimimine, zitakuwa na mafuta mengi kiasi cha kutokupendeza kuliwa. Ila ikiwa ni za biashara haiwi shida kwa sababu huchomwa kwa wingi hivyo zenye makosa hupotelea kwenye nyingi nzuri.Sasa mimi zinashinda nyeupe ila natengeza kwa ajili kula tu hapa nyumbani
Nasoma sasa kesho ntajaribu tena kwa kufuata maoni niliyopata na nitarejesha mrejesho hapaKumbe sio za biashara, halafu sasa ukiweka mafuta mengi halafu mahindi yakawa kidogo sana, kitakacho tokea ni kwamba mahindi yatapasuka na kuruka ila zile za mwisho ambazo hubaki kwenye sufuria hadi uzimimine, zitakuwa na mafuta mengi kiasi cha kutokupendeza kuliwa. Ila ikiwa ni za biashara haiwi shida kwa sababu huchomwa kwa wingi hivyo zenye makosa hupotelea kwenye nyingi nzuri.
Nasoma sasa kesho ntajaribu tena kwa kufuata maoni niliyopata na nitarejesha mrejesho hapa
Uongo unatengeneza za kuuza πΉπΉπΉSasa mimi zinashinda nyeupe ila natengeza kwa ajili kula tu hapa nyumbani
πππ shikamoo LamomyUongo unatengeneza za kuuza πΉπΉπΉ