Jinsi ya kutengeneza apps za android

Nimeshakutumia mkuu... sory kwa kuchelewa

Aksante sana mtiririko wa info kwenye hizo pg 28 umenisaidia. Ni information ambazao nilishakutana nazo sema nilikuwa naruka hatua muhimu. Kwa hii beginners guide I think I can take off and land my test project safely later next year.

Pamoja
 
download Android Developers Kit ADK, download eclipse, version yeyote ile, ila classic ni bora kama utatumia android pekee na ukimaliza weka android extension ya eclipse. Configure hiyo extensio (kuionesha mahali ilipo ADK, config za android VM simulator et al). Ukimaliza test na simple program kama kila kitu kiko sawia.
Then check API na tutorials za Android dev.
Mobile posting is very limited....
 
Haya wadau nimeanza ku-tengeneza ka app ka android. Just for learning and fun . Nitapokwama nitaweka maswali hapa wataalam na wajuvi zaidi nitaomba msaada wenu.
 
ili uweze kutengeneza application za simu lazima ujue programming language lakini kabla sijafika mbali ningependa kukuuliza wewe unataka kutengeneza application za simu zinazotumia OS ya aina gani?
 
kwa wale wataalam wa IT tupeane msaada na maujuzi kwa hili kwasababu kuna watu vichwa wanajua sana hivi vitu..lets share friends
 
Nikiona jina lako nakumbuka mwaka 2008..sorry nimetoka nje ya mada

Ata uongozi wa jf unaweza kukusaidia maana ipo jf app ambayo na mimi natumia
 
Application za simu za aina gani? Android, iPhone, WP, BB, Nokia Asha zote ni tofauti.

Utahitaji kujua programming language Java kwa ajili ya Android au Asha, Objective-C kwa jili ya iPhone, C# kwa ajili ya WP etc.

Then utahitaji uinstall development environment kwa ajili ya aina hiyo ya simu, iPhone inahitaji Xcode ambayo ni Mac only. Android wana ADT Bundle inafanya kazi kote, WP visual studio ambayo ni windows.

Then inabidi utumie API ya hiyo platform kufanya unachotaka kwenye hiyo program yako.

iPhone lazima ulipe $100 kwa mwaka kuwa developer hata kama unataka kuandika Apps kwa jili ya simu yako tu.
 
Adroid mkuu
 
Back
Top Bottom