Jinsi ya kutengeneza apps za android

Wakuu wa jukwaa hili la tech. hali zenu? nahitaji kutengeneza, ama niseme kuwa na android application ambayo nahitaji iwe ni kwa ajili ya kuweka vitu mbalimbali kuhusu masuala ya afya...

Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza application kama hiyo na namna ya kuirun...so kama ni free naweza kutengenezewa msaada tafadhali wataalamu tusaidiane na kama kuna gharama nifahamu ni kiasi gani na procedure zake zi vipi??

Kwa haraka sana nahitaji kufanya hivyo.
Asanteni
[HASHTAG]#needtochangetheworldnow[/HASHTAG]
Ukikosa pia nipm namba yako nikupigie tuongeee
 
Ni natak,iwe app ya kutupia na kuweka taarifa mbalimbali za maswala ya afya.
OK mkuu njoo PM tuongee fresh kunakazi kama hio nishamtengezea mtu wa humuhumu jf sema bado ajaniruhusu niiweke play store ila naweza kukupa app uione sema yake ime base kwenye madawa
 
Kama app ni ya simple simple tu nenda appyet itakusaidia kutengeneza app yako mwenyewe zipo blog kibao bongo wametumia appyet kutengeza app zao
 
Tengeneza kwanza website kwa wordpress then utaimigrate kwenda kwenye app. it is very simple this way kwa kuwa kuna android app builders za bila kuandika code hata moja. Kuna tools za kuconvert wordpress website kwenda kwenye android and ios. Hii itafanya content zako watu wanaotumia kompyuta wakupate na wa kwenye simu wakupate. Ni hayo tu
 
Habari wana jf,kichwa cha habari chahusika nilikuwa ninahitaji kutengenezewa app sasa nahitaji kufahamu bei? Na jee kuna process gani kuiweka app yako play store au kwa wale wanaotumia IOS

Karibuni wekeni kila kitu hapa hapa siwezi kuja PM wala wapi nipe details zote hapa then tufanye biashara

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Kwa uelewa mdogo nilionao juu ya hiyo kitu inabidi uwe na development framework eg, eclipse.. pia uongeze na extensions nyingine kwa ajili ya simulation ya apps utakazokua unatengeneza... kama hautojali nitumie email yako nikupatie kitabu ambacho kina maelekezo ya awali
Na mm naomba nitumie hiko kitabu mkuu hbi

Riffatsowa3@gmail.com
 
Back
Top Bottom