Jinsi ya kutengeneza apps za android | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kutengeneza apps za android

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Nov 27, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu hasa wataalam wa maprogramming.

  Nataka kujaribu kutengeneza app ya android na specificaaly app ya Ramani(gogle map) ya Tanzania au dar Es salaam ambayo nitauwa nime icustomise.

  Pamoja na ku gooogle naomba wataaam na wajuvi wenye practical experince mnifahamishe juu ya nyenzo zinazotakiwa , na mengineyo. jinsi ya kutengeza apps za android.
  =========

   
 2. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Kwa uelewa mdogo nilionao juu ya hiyo kitu inabidi uwe na development framework eg, eclipse.. pia uongeze na extensions nyingine kwa ajili ya simulation ya apps utakazokua unatengeneza... kama hautojali nitumie email yako nikupatie kitabu ambacho kina maelekezo ya awali
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  na mimi naomba unisukumie hicho kitabu.
  E mail:- bujibuji@jamiiforums.com
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Nenda kwenye Android developer website.kuna info na APIs za kukuwezesha kutengeneza hizo Applications
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Vijana unganeni mtengeneze vitu ambavyo vinaweza kuingia kwenye soko mkiwa na intellectual rights (hatimiliki) ili mfaidike. Wenzenu Kenya na Uganda wanaweza kwa nini nyie Wabongo hatuoni mambo yenu? Au ndiyo matokeo ya elimu duni au ni uvivu?
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Aksante mkuu
  Unaweza kutoa ushauri kwa sasa device nyingi za android zinatumia platform version gani? Naona kuna Platform kama nne na kila moja ina version kama tatu hivi. . So kwa development ni platform gani inatakiwa kutumika 2, 3, 4

  Nimeutumia mail ila kama hutajali kibandike pia kwenye file sharing kama mediafire au megaupload
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Anzia Froyo (2.2)
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Bado tunajadili kujivua magamba
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Site ya Google ya Android Android Developers

  YouTube kuna video nyingi za programming for Android.

  Stackoverflow.com kwa maswali na majibu.

  Kama haujui Java ni muhimu kujifunza Java kabla ya kuanza na Android.

  Mwisho niseme biashara ya Apps ni ngumu sana, lakini kila la heri.

  Edit: Target 2.1, jinsi Android ilivyotengenezwa ni kwamba ukilenga version ya chini itafanya kazi kwenye version yoyote ya juu na ukilenga 2.1 unakuwa umecover kama 98% ya market. Platform Versions | Android Developers
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Wakenya na Waganda gani hao wameweza? Ninpenda kuwajua.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  aksante sana Kang Google, yutube, stackoverflow zote nizitumia sana. nilipenda kuongeza na maoni ya wanajamvi wenye practical experince waliojaribu hii kitu.

  Programming na Java sio mtaalam sana but naua through google,youtube, stcakoverflow ect nitajaribu

  kingine dhumuni langu kuu ni kujifunza tu kwa vitendo sio biashara . So far so good
   
 12. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 180
 13. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  nasmile9@gmail.Com
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Swali lingine na ushauri kutoka kwenu

  Katika touvti ya eclipse Kuna IDE packages tofauti tofauti za Java . Sasa ni ipi inayofaa kati ya
  • eclipse IDE for java deveopers,
  • eclipse IDE for java EE deveopers,
  • eclipse classic 3.7.1
  Hizi tatu naona ndio zina dowload nyingi . Sasa mtaalam yeyote wa eclipse/Java animbie tofauti ya hizi package ni nini na ipi inafaa kwa develpment ya mobile apps
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Classic.
   
 16. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Ndo kama ninavyosema jamaa wameshinda competition wamekamata hela ila ukiangalia Apps zinavyoperform kwenye Android Market hali sio nzuri, ndo maana nasema hii biashara ni ngumu sana. 1000 downloads probably wanakusunya less than $0.5 per day.
   
 17. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Nimeshakutumia mkuu... sory kwa kuchelewa
   
 18. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Cheki kwenye email yako ndugu...
   
 19. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Cheki kwenye email yako...
   
 20. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 606
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Angalia email yako ndugu
   
Loading...