Kutembelea SCOAN

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
7,954
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
13,140
2,000
Huwa sielewi hiyo hela wanafanyia nn!
Sbb nauli ilikuwa hata M haifiki ,laki 9,8....kwa ethiopia airline....then na gaharama za kukaa kule ...1 week! Ss utajiuliza hiyo hela nyongine huwa ni ya nn!
Ila shilingi ilivyoshuka sshv mpk noma,nauli inaweza ikazidi M1...napo sio sanaa....

So ukiomba direct unalipia tiketi yako go n return plus hela yako ya kukaa kule basi!
Nkipata ntakujuza..ila kama coordinator wanapandisha siwataki. Kuna mtu aliwahi walalamikia humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,499
2,000
Huwa sielewi hiyo hela wanafanyia nn!
Sbb nauli ilikuwa hata M haifiki ,laki 9,8....kwa ethiopia airline....then na gaharama za kukaa kule ...1 week! Ss utajiuliza hiyo hela nyongine huwa ni ya nn!
Ila shilingi ilivyoshuka sshv mpk noma,nauli inaweza ikazidi M1...napo sio sanaa....

So ukiomba direct unalipia tiketi yako go n return plus hela yako ya kukaa kule basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela ya kukaa kule kwa wiki sh ngapi? Na chakula
Je wanapokea kwa dollar au naira?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
2,189
2,000
Je kuna mwanajf yeyote anayepanga kwenda SCOAN
Kama upo tafadhali uniambie..
Nna hitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni watu gani waliahidiwa na Yesu kwamba
Mathayo 7:7-11''Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa. 8Maana, aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa. 9Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? 10Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? 11Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba''?

Tumuombe Yesu yupo tayari kutusikia . Mnamgeuza TB Joshua kama kwamba ndiye Yesu
 
Top Bottom