Kutembea ukiwa usingizini

Sorry out of topic, mkuu mshana nowdays sikumbuki kabisa nilichoota ucku. Is it normal,?? msaada tafadhali
 
Sorry out of topic, mkuu mshana nowdays sikumbuki kabisa nilichoota ucku. Is it normal,?? msaada tafadhali

Nafikiri wanga wanAkufunga usikumbuke ukawawahi kuharibu mAmbo yao ili yakupate vizuri
Hata mimhilo tatizo ninalo sikuhiZi
 

Mshana umesema dawa yake ni kitunguu swaumu unakifanyaje? Unatafuna au wachemsha?
 
Sorry out of topic, mkuu mshana nowdays sikumbuki kabisa nilichoota ucku. Is it normal,?? msaada tafadhali
Extremely normal, ordinary dreams are vague memories of our thoughts speech n deeds
 
Mshana umesema dawa yake ni kitunguu swaumu unakifanyaje? Unatafuna au wachemsha?
Unakitafuna na kujipaka kwenye paji la uso na vijaganjani bila kusahau kifuani
 
Jaribu kulala mapema ili uondoe msongo wa mawazo ambayo ndio Vitendo vyake huwa vinajirudia pale ulalapo!
 
Hii inahusuka na reincarnation, kuna topic yake ngoja nikiipata takutag
Hali hii hata mimi inanitokeaga,naweza kupita mahali hata kama ni mkoa au wilaya ambayo cjawahi kufika nikaona mtaa au baadhi ya mpangilio wa nyumba au mazingira machache ambayo naona kama nayajua na naweza kuhisi hata kabla sijaumaliza kama ni mtaa mwisho utakuwaje na ukawa hivyo,nakosaga majibu kwa kweli.
 
Atashtuka usingizini na nafsi ya utashi italeta mvurugano kwenye ufahamu kamili kitu kinachoweza kusababisha kifo kutokana na mshtuko
Mdogo wangu wakike alikuwaga anatatizo kama hili usiku anaongea kwa sauti huku yy kalala Akinogewa anaamka anakuja hadi sebuleni anataka kutoka nje,ilivyozidi tukawa tunatoa ufunguo mlangoni ili ashindwe kutoka na mda huo ukimuona anakuwa kafumba macho na hajigongi popote anapita kama anaona vile.
 
Hivi mshana jr mm kuna matukio mengine huwa yanapotokea katika maisha yangu ya kila siku mala nyingine huwa nayaona kama si mageni yani nililiona kabla. Ila nakuwa sikumbuki nililiona wapi. Hivi ni kweli huwa huenda nililiona au nin kinahusika.
Haya kwangu huwa yananitokea mara kadhaa!
 
Unakitafuna na kujipaka kwenye paji la uso na vijaganjani bila kusahau kifuani
Naomba kuuliza, hawa wenye kuzungumza wakiwa wamelala, hii iko je?. Niliwahi kuishi na jamaa kutoka Ethiopia, ikifika usiku kwenye saa nane huwa anaonge kama vile yupo na mtu , inaweza kuchukuwa hata saa nzima,kama uko nje unaweza kusema yumacho anamgeni wanzungumza, lakini amekuwa amelala usingizi kabisa.
Vilele niliwahi kuishi kwa mzee mmoja shamba, zamani, huyu mzee ikifika usiku wa saa sita huwa anamka na kuongea, lakini yule anaengea nae hutumuoni, tulikuwa tumeshamzoea wala hatuogopi, tukimuliza asubuhi anasema alikuwa na mgeni. Jenginine alikuwa na shamba lake kama umbali wa maili mbili kutoka nyumbani, tukichukuwa chochote, embe, karanga.tukifika nyumbani anakuwa ameshajua. Chengine kilichonishangaza zaidi, nikiwa Form 1 miaka hiyo aliniambia alienda Istambul, huyu mzee hana passport, hata kusoma na kuandika hajui.mimi niliijua istambul kwa atlas tu, kulikuwa hakuna tv wala video. Baada ya kama miaka nane mimi mwenyewe nilienda Istambul. cha ajabu mambo mengi aliyonieleza aliyoyaona Istambul ni ya kweli. Hebu nambie kweli huyu mtu alisafiri kwenda Istambul kwa njia za kichawi au vipi?
 
Tukiondoka kwenye dhana ya reincarnation, ufahamu wetu husafiri ni kitu kama kile tunaita kutoka nje ya mwili
 
Kinachofanya kazi hapo ni ufahamu na anaona kupitia jicho la tatu
 
Mshana hata kwa webu nyingine pia haifunguki. Kama solution ni kuwa tagged naomba unitag tafadhari kwani inanihusu
Kupitia Google inafunguka jaribu, takutag pia
 
Kwa huyu jamaa wako wa Ethiopia inawezekana kabisa ni maradhi yanayohusiana na hii mada lakini Kwa huyo mzee wako ni mmojawapo wa watu wanaomiliki supernatural powers, ana uwezo wa kusafiri popote kula chochote ama kufanya chochote bila kujulikana na wengine na hafanyi Kwa kificho, kwenye hili wengine huchanganya na ushirikina
Wiki iliyopita nilileta habari za jamaa mmoja huko Nyamisati , ni kama huyo mzee wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…