Kutembea na mume wa mtu

Mkuu mbona umemshambulia sana huyo mwanamke , wakati wote wawili huyo mwanamke na mwanaume ni wakosaji ?
 
*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.

Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*

So baby gal shikilia...ikibidi Muone Miss chagga..akufunde kidogo
 
Hahaaaaa kwanza tuliza hasira vumilia tu tafuta kadogodogo kako utulize nafsi


Kizuri kula na wenzio
 
Pole, tuliza moyo wako, songa mbele na maisha yako. Utaja pata magonjwa ya Moyo bure ukawapa shida ndugu zako. Mume mlikutana mkiwa na meno 32 asikupotezee maana na thamani ya maisha aliyokupa Mwenyezi Mungu! Raha jipe mwenyeweeee
 
*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.

Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*

So baby gal shikilia...ikibidi Muone Miss chagga..akufunde kidogo
2.3+5.6=7.9 na 7.8 imekujaje mkuu .....lakini hzo takwimu ni makadilio....si halisi...................
 
Hivi kweli sisi wanaume tukiamua kuwa wachoyo itakuaje?? Si unaona kuwa wanawake wote watakosa wanaume?? Wahurumie wenzio, dont take it too serious
 
Itakuwa kweli ujue. Sidhani kama hajamwaga chozi.
atakuwa analia sa hivi ila atulie ajitafakari kabla ya kuanza kunyoosha kidole kwa mwenzie na kukaa kimya kutaepusha mambo mengi hasa kugombana .. halafu baada ya kutulia amueleze mumewe kwamba anamuumiza anavyofanya ikishindikana dawa ni kukaa kimya afanye majukumu yake ipasavyo kama anamtoto alee mwanae basi..........
na asifanye kosa la kumtafuta mchepuko sababu hayupo level yake
 
[emoji475] [emoji475] [emoji475] [emoji475]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…