Kutembea na mume wa mtu

Aisee!! 70% ndo tabia ya wadada wa skuhiz
 
Askar Muoga....utakuwa umetumwa na mkeo umsemee..hivi vitoto vina kasi mpya mzee...
 
Uache pombe unalewa ukifika nyumbani unalala tu unategemea nini..?
 
Of cause wanaotembea na waume za watu hawana shida ya kutambulishwa wala, wengi shida yao ni mapenzi na hela basi, sasa wewe kama unazani kila mtu anashida ya kuolewa au kutambulishwa utashangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…