Tuliwachokoza wenyewe kwa kutupa mawe nyumba ya jirani huku tuna nyumba ya vioohao genz wa kenya wanafanya sio poa, wanakunya na kuhara balaa, watuachie msala wetu tupambane nao
Zile risasi mlizompiga Lissu ni kama hazikutosha. Ile ni Kafarauliona wapi chadema wakitoa kafara watu kenge we?
Mdude amepatikana? Kama wewe ni mzazi wake au kakaake au Dadaake au mkewe au mtoto wake. Ungeliileta hii mada? Natanguliza shukrani!🙏🙏🙏🙏Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi kuharibu?
Ona!
1. Watu wanaoikosoa Serikali wameendelea kuongezeka. Mpaka wana CCM na wao sasa wanaoikosoa Serikali yao
2. Ukosoaji umevuka mipaka. Sasa wapo mpaka nchi jirani wakiikosoa Serikali ya Tanzania kwa ukali kuzidi Watanzania
3. Imeichafua nchi Kimataifa!
Au lengo lao lilikuwa lipi hasa
PmbvEvelyn Salt Umemuona mke wa Mdude na Lissu jinsi wapivyoanza kunenepa na kunawiri?
Mshamba akili tu huna la maanaZile risasi mlizompiga Lissu ni kama hazikutosha. Ile ni Kafara
Mka mwambia Mdude ajiteke. Kitendo kile ni kutoa kafara, maana hakujitoa kafara.
Wazazi wako wangekua na akili, wala usingezaliwa.Mshamba akili tu huna la maana
so?Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi kuharibu?
Ona!
1. Watu wanaoikosoa Serikali wameendelea kuongezeka. Mpaka wana CCM na wao sasa wanaoikosoa Serikali yao
2. Ukosoaji umevuka mipaka. Sasa wapo mpaka nchi jirani wakiikosoa Serikali ya Tanzania kwa ukali kuzidi Watanzania
3. Imeichafua nchi Kimataifa!
Au lengo lao lilikuwa lipi hasa?
Mikosi mingine mnajitafutiaga tuMdude ni Kafara la CHADEMA
Ametumika na ametupwa pwaa
Tulimuonya.
Wewe ilitakiwa itumike ndomu leo usingekua unatema uharo jukwaani hapaWazazi wako wangekua na akili, wala usingezaliwa.
Kajinyonge
Kuweni na huruma!Zile risasi mlizompiga Lissu ni kama hazikutosha. Ile ni Kafara
Mka mwambia Mdude ajiteke. Kitendo kile ni kutoa kafara, maana hakujitoa kafara.
ENaamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.
Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi kuharibu?
Ona!
1. Watu wanaoikosoa Serikali wameendelea kuongezeka. Mpaka wana CCM na wao sasa wanaoikosoa Serikali yao
2. Ukosoaji umevuka mipaka. Sasa wapo mpaka nchi jirani wakiikosoa Serikali ya Tanzania kwa ukali kuzidi Watanzania
3. Imeichafua nchi Kimataifa!
Au lengo lao lilikuwa lipi hasa?
Muulize mkunga aliyekutoa tunduni.Wewe ilitakiwa itumike ndomu leo usingekua unatema uharo jukwaani hapa
punguza jazba kunywa maji kwanza.Halafu uone kama bado utaendelea kutema pumba.Wewe ilitakiwa itumike ndomu leo usingekua unatema uharo jukwaani hapa
Kuweni na huruma!
Cha kushangaza hakuna aliyepinga nilichokisema kama ni kweli au lah.Mikosi mingine mnajitafutiaga tu
Ni imani yangu mdude yupo haiNaamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.