Kutekwa kwa Mdude kumebadilisha cho chote?

Kutekwa kwa Mdude kumebadilisha cho chote?

Cha kushangaza hakuna aliyepinga nilichokisema kama ni kweli au lah.

Badala yake, wamejikita kwenye Ugaidi🤬😌

....mikosi??
Kwahiyo unasema yaliyomkuta Mdude ni halali yake. Ameyatafuta na ameyapata.
Mdudue hana kosa, mkosoaji asiye shika silaha hastahili kuhukumiwa kifo kqma mfanyavyo
 
Naamini Mdude hakutekwa na "vibaka" wa mtaani! Siyo watu waliokuwa na bifu naye binafsi.

Hisia zangu zinanielekeza kuwa waliomteka huenda walifanya hivyo kwa maelekezo ya wakubwa waliowatuma. Alitekwa ili watu waogope kuongea?
Utekaji huo umewanufaisha watekaji? Mbona kama ndiyo wamezidi kuharibu?

Ona!
1. Watu wanaoikosoa Serikali wameendelea kuongezeka. Mpaka wana CCM na wao sasa wanaoikosoa Serikali yao

2. Ukosoaji umevuka mipaka. Sasa wapo mpaka nchi jirani wakiikosoa Serikali ya Tanzania kwa ukali kuzidi Watanzania

3. Imeichafua nchi Kimataifa!

Au lengo lao lilikuwa lipi hasa?
Yes. Utekaji umeongeza kipato kwa watekaji. Ni hilo tu
 
Back
Top Bottom