johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,002
- 142,028
Inawezekana!Walitaka kuzipiga deal likafa si kwamba hamna wanunuzi
Aliyetuingiza chaka daktari Dau kwa sasa ni balozi huko kwa waarabu!Tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
Sarakasi za bongo hata Jack chain hawezi ruka.Hivi zile nyumba za Lugumi bado hazijauzwa tuanzie hapo ?
Kwa nini hawakuzimgawia Dr.ShikaSarakasi za bongo hata Jack chain hawezi ruka.
Nyie vilaza jukumu lenu ni kuchangia tu maana ndio madhara ya elimu ya vitabuniSasa michango yetu iliyowekezwa huku ikitegemewa kuzalisha pesa zaidi itarudishwaje??
Masikini hela za wafanyakazi!!!!!! Ukiachishwa/kufukuzwa/kustaafu kazi unazungushwa na kupigwa uongo mchana kweupe kumbe hela waliziingiza kwenye miradi ambayo haina maslahi na mwenye fedha zake! Pole sana wadau wa mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamiiTukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
Nyie vilaza jukumu lenu ni kuchangia tu maana ndio madhara ya elimu ya vitabuni
Mimi Niko Ishoshang'ombe village, lakini huu mradi niliuona wa kizuzu tangu unaanza. Lakini waliokuwa wasimamizi nao wamejiunga nasi kulalama.Tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
Hivi zile nyumba za Lugumi bado hazijauzwa tuanzie hapo ?
Aliyetuingiza chaka daktari Dau kwa sasa ni balozi huko kwa waarabu!