Kutekeleza ilani: Nyumba 1500 za NSSF zilizokosa wanunuzi kupewa Vyuo vikuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Nyumba zaidi ya 1509 zilizojengwa na NSSF kwa ajili ya kuwauzia wananchi lakini zimekosa wanunuzi na kuwa makazi ya POPO katika maeneo ya Tuangoma na kwingineko sasa kugawiwa kwa vyuo vikuu vya umma.

Source Habari Leo.

Maendeleo hayana vyama!
 
.... tatizo mkiambiwa mtaani hali ngumu hamtaki kusikia, kama mngeamua kupunguza bei mngepata wanunuzi, tatizo mlizijenga kwa mentality ya kidalali ili zikikamilika mziuze kwa bei ya juu, ndio maana watu wamekimbia... wacha wanafunzi wakakae huko!
 
Hapa ndio wanapofeli, Serikali, Agency Zake Private sector zote hzi ina maana wmeshindwa kutafuta wateja ambao watakua wanalipa in monthly basis kama analipa rent huku anapunguza deni hata kama it will take 15-20 Years, Kwa maana ukiwapa wanafunzi wanazigeuza hostel ama?
 
Tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
 
Aliyetuingiza chaka daktari Dau kwa sasa ni balozi huko kwa waarabu!
 
Nyumba za kawaida sana bei kibwa mno. Walijenga bila akili for sure maana hata ukikopeshwa hazikopesheki watu wakaamua waingie mtaa wajenge wenyewe. Wizi tu huu pesa kibao ya govt imepotea
 
kiukweli ktk iyo sekta mifuko ya hifadhi za jamii ziliingia kichwa kichwa tu.... na ukizingatia kutoweka kwa ule mradi wa New Kigamboni City pia ilichangia ..sijui wale jama zetu wa kichina kule kigamboni wao walifanikiwa pia au la hasha ? vijumba vilijengwa vidogo lafu bei kaliiiiiii
 
Tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
Masikini hela za wafanyakazi!!!!!! Ukiachishwa/kufukuzwa/kustaafu kazi unazungushwa na kupigwa uongo mchana kweupe kumbe hela waliziingiza kwenye miradi ambayo haina maslahi na mwenye fedha zake! Pole sana wadau wa mafao ya mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Tukiambiwa tunaishi in a pithole country tunapiga kelele,mradi mkubwa kama huu why ulitekelezwa bila ya kuifanyia uchunguzi kuhusu soko lake utakapokuwa umekamilika?bila shaka hata ripoti ya uhalibifu wa mazingira sidhani kama ipo.huu mradi umetumia fedha nyingi mno za walala hoi (na bila shaka hawakuhusishwa kabisa)sasa fedha za watu zitalipwa vipi wakati mradi umeshadumaa?ni vema muda mwingine siasa zinakaa pembeni na uhalisi uchukue nafasi.
Mimi Niko Ishoshang'ombe village, lakini huu mradi niliuona wa kizuzu tangu unaanza. Lakini waliokuwa wasimamizi nao wamejiunga nasi kulalama.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom