Kutapeliwa

Hii nchi wajinga mtachelewa sana kuisha,hata wanao utawaambukiza huo uzuzu.
 
Yeah ni kweli hyo huduma ipo nmb pesa faster unatoa pesa kwenye ATM bila card unatoa kwa kutumia code tu!
 
Yaani akutumie pesa kwenye namba ya simu ila pesa ukachukulie bank!!! Kuna huduma ya hivyo kweli?

Pole we!
Hudum hyo ipo mkuu Nmb pesa faster unatoa pesa bila kuwa na card y bank unatoa kwa kutumia pin Kama hzo kwe SMS aliyotumiwa lakin hyo SMS ni fake!
 
Advanced huu utapeli hizi si private no, wahuni wamesha chonga za kupigia watu mjini.
 
Hudum hyo ipo mkuu Nmb pesa faster unatoa pesa bila kuwa na card y bank unatoa kwa kutumia pin Kama hzo kwe SMS aliyotumiwa lakin hyo SMS ni fake!
Ooooh!! Sikujua mkuu, asante.
 
hela ikitoka bank inaingia kwenye akaunt moja kwa moja na unatoa kwa wakala wa mtandao husika, sasa hiyo ya kwenda kutoa kwenye bank tena ni suala jipya,

2. Miamala yote ya pesa za mtandao lazima zinakuja na namba ya muamala(risiti) ya Huduma uliyofanya amabyo inaambatana na muda was kufanyika huo muamala, wewe hii yako haina namba ya risiti/muamala

3. jaribu kutembelea wakala wa nmb kama unaweza pata msaada, lakin kwakuwa umeshaanika siri utakuwa umeshaikosa hela

4. Mwambie jamaa yako aliyepokea hiyo hela kama hakuna namba ya simu kwenye phonebook yake kaisave yake kama hakuna mtu amemsave kama NMB.

5. Kama ana muda angilie vizuri centre number ya msg ilyoingia kama ya kutoka nmb au namba ya kawaida
 
Hampo serious na neno pesa!..ohh hata iweje siwez kosea
Tuseme nini kwenu tena wanawake?

Kiasili mwanamke akili yake imetulia.

Waliohusishwa kupewa taarifa na waume zao juu ya jambo linalotarajiwa kufanywa, likawa na harufu ya utapeli ndani yake, mara nyingi husaidia mno kuwashitua waume zao.

Lakini wanaume wasiopenda kuhusisha wake zao kwenye mambo yao ya pesa, mara nyingi hupigwa kimya kimya na kubakia na 'donda ndugu'.
 
mbona wanawake ndo rahisi kutapeliwa
 
MUWE MNATOA ZAKA

USHAURI KAMILI AKUNA SLOPE KWENYE MAISHA BILA MUNGU UKIPOKEA HURUDISHI KWAKE WATAKUJA MADUMADU KAMA HAWA WANAKUNYOOSHA MKUU

KATUBU KAMA ZAKA HUTOI NA KAMA SADAKA UMEKUWA MBAILI NAKO TUBU BAADAYAHAPO MUNGU ATAFUNGUA MIRIJA MINGINE UTAPATA ZAIDO
 
Asante kwa kutambua ujinga wangu
Kuhusu kumpa account, Soma vizuri tena boss. Ilikua jioni, so banks pia zilikua zishafungwa. Na pia nisingekubali aje akanitumie labda kesho yake. Ingekua ngumu ndugu yangu
Pole brother, achana na watu wasio na ufikirio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…