Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 161
- 215
Rais wa Kenya William Ruto anasema hajui hata yeye hizo mvua zitanyesha lini 😀 😀
Anasema "wale watu walituambia itakua mwezi wa nane, sasa ikasonga ikakua mwezi wa tisa, hatujaona na bado tunahamgaika kungoja".
Sijui nataka kusema nini wakuu ila bora hata Kenya wamenyooka jamani, huku kila siku tunaambiwa mvua zipo wakati hazipo🤔😀🙌
Ah! Huku El-Nino, huku Oktoba 29..... yani huu mwezi uishe tu kwakweli tuanze mipango ya November ili tujue tunaendelea na lipi. Tujue tunaendelea issues za Lissu, Twaha Mwaipaya au hiyo El-Nino yenyewe🤔🤔