Kutana na Tim Doner, kijana wa miaka 17 anayezungumza lugha 20 kikiwemo Kiswahili!

Yupo vizuri kijana huyu!!

Anania na uthubutu wa hali ya Juu.
Nimefurahishwa zaiidi na vitabu vingi vinavyoonekana nyuma yake...Maarifa mengi na ufahamu mkubwa upo katika vitabu.

Tuwe na tabia ya kusoma vitabu.
 
Huyo dogo ananishinda mimi mtanganyika halisi kwa kuongea kiswahili fasaha japo nimekulia kwenye hii lugha
 
Duh, akitaka tu anaweza kuopoa demu la kiswahili mapema asubuhi. Ndiyo akili zetu zilivyo.
 
Anajitahidi kijana, ila nimemsikia anasema mwenyewe kwamba anayo miaka "15" siyo 17.
 
Back
Top Bottom