kutana na ticha na denti wa kimasai

kutana na ticha na denti wa kimasai

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
TICHA: Ukikutana na simba utafanya nini?

DENTI: mi takimbia nikapande kwa muti.

TICHA: Na simba akikupandia hapo juu ya mti?

DENTI: mi tajirusa chini nikimbie kwa mto niogelee.

TICHA:Na simba akikufuata hapo mtoni akiogelea utafanyaje?

DENTI: YEROOO! ACHA UPUMBAFU.NITAKUCHAPA RUNGU! Wee iko pande yangu ama pande ya simba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom