Kwani na ww upo huku??Kuna kitu kinaitwa MAHABA; Hata kama kitu kikiwa kizuri au kibaya namna gani ukiwa na mahaba au kutokuwa na mahaba nacho then lazima utakipepelea au kukiponda tu. Then kuna kitu kinaitwa ushabiki, ukiwa shabiki wa Iphone, Sony au Samsung then hata kama unaona kabisa Nokia kakuzidi hutakubali hata ukiwekewa kisu shingoni. Mi naamini hivi, anything no matter how small it is kimeongezwa au kitaongezwa kwenye any new flagship coming I will call it new. Umasikini wetu usitufanye tuwe wachambuzi wazuri saaana hivi kwasababu I believe wenye uwezo wa kuwa nazo wala hata huwa hawaangalii ina nini ila ni kipi kipya
sijawahi kuelewa kwanini watu wanapenda samsung.
Hakuna simu zina lag kama samsung.
Ukiiweka kwenye Tecno Phantom A haiwaki.
ku lag nikufanyaje? (please asinijibu mtu mwingine. anijibu OTIS )
Samsung atasubiri sana kwa BlackBerry
Nasubiri clone S5 tu hoi siitaki mkorea afanye Jataka bwana
Nasubiri clone S5 tu hoi siitaki mkorea afanye Jataka bwana
Smartphones nyingi zilikuwa sina bore charge...nipo na HTC butterfly s.....25hrs is just good to me.
Am nokia fan...tatizo Ni OS...wakianza kutumia android nitawafikiria.
kama inazama kwenye maji bila maji kuingia ndani....
Ina maana haina speaker?
Au!
Hivi hujaona Sony Xperia? Zinazama kwenye maji zikiwa na tundu kubwa la headphone pamoja na vidirisha vya spika
naomba mtaiwan aphotoe clone twende sambamba
series tatu za hd gb90
game kama san andre 10 gb 30
apps gn 4
audio gb 2
free gb 2
Mara moja moja mkuuKwani na ww upo huku??