kutana na Samsung galaxy s5

kutana na Samsung galaxy s5

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
asubuhi tumeshuhudia chief-mkwawa akituletea uzi kuhusu nokia x na ndugu zake ambao wamezinduliwa leo, kabla siku haijaisha tayari samsung galaxy s5 tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu imefika

samsunggalaxys5-1020-1.jpg


kwa haraka haraka sifa za hii kitu mpya ni

display ni 5.1 inches ambayo imeizidi kiasi s4, lakini ni 1080p, kioo ni Super AMOLED ambayo haina tofauti saaana na s4. chini ya home key kuna fingerprint scanner na capacitive keys kwa ajili ya multitasking pamoja na back button

simu hii ni vumbi proof na water proof unaweza izamisha kwenye maji yenye kina cha futi tatu kwa nusu saa bila kuingia maji

galaxys5-2040-8_verge_super_wide.jpg



S5 inakuja na 2.5GHz quad-core processor, ina 3GB RAM , snapdragon 800 prosesa na inakuja na android 4.4.2 kitkat
improved touchwiz ui pia na knox security system. ina ultra power saving...

camera: 16megapixel

namuachia chief-mkwawa studio namba mbili aendelee na uchambuzi wa flagship hii ya samsung

picha kwa hisani ya : theverge
 
samsung wamezingua,RAM still 2gigs,no OIS just wameongea pixel (16mp)na fingerprint scanner.Huh Samsung disappointing me.
 
Samsung mwaka huu wamechemka kwa fragship hii, watu tulitegemea features za kufa mtu, tofauti na mategemeo yetu tumeletewa vitu ambavyo vimezoeleka kwa sasa, hata design ya simu imebaki kuwa ile ile ya kutokea s3, labda ajipange atoe model nyingine, nijuavyo competetor wake walikuwa wanamuangalia yeye atakuja na nini ili nao watokeje, ndo maana tumeshudia makampuni kama htc na nokia wakitoa mid-range phone kama htc desire 816 na 610, na nokia nokia x na xl. Natumaini makampuni mengine watajitahidi kutoka na vitu vya ukweli ili kuvuta soko la samsung kwao
 
Nasubiria s6 labda kutakua na mabadiliko
 
Time to upgrade now, my Galaxy Note II is getting sluggish from all the cr.ap I am dumping on it.

I can use the geezer for streaming music and BBC World Service.
 
kama inazama kwenye maji bila maji kuingia ndani....
Ina maana haina speaker?
Au!
 
Waliisifia sana S4 nikajichanganya. I really miss my iphone... Android bado ni cha mtoto sana kwa iOS
 
Back
Top Bottom