Kutana na Neema cha Mwambe

Kutana na Neema cha Mwambe

Umeghairi au..? Sema upesi ili tujue tunafanyaje kukuwahisha maana naona umechoka ugali dagaa wakati hiyo ndo keki yetu..!
Nikiamka asubuhi hicho ndo kifungua kinywa!.. hiyo ndo lunch na dinner pia ndio maana hata akili zangu zimekaa ki dagadagaa..[emoji23]

Mkuu weka na picha ya mwanamke wa kwanza kusema ile hela nitumie kwenye namba hii..[emoji28]
Hahaa nimegairi ndio kuna mwanamke anausumbua moyo wangu .. Mpaka nimpate huyo kwanza ..ndio nitafikiria masuala ya kufa

Ngoja nakuletea hiyo picha

Sasa hii kwanza chukua ya huyu mwamba
View attachment 1549626
 
IMG_20200827_191235.jpg
 
Back
Top Bottom