Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Mastaa wetu sijui wanakwama wapi mjini fujo kibao halafu home miyeyusho
Kupitia kanumba
Agnes masogange
Albert mangwea.

Inaonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyotudanga kwenye mitandao ya ukiwakumbusha unaambulia matusi,

Kuna lile uwoya ndo halijielewi kabisa kila siku lipo hotelini.
Jamaa unaona mbali ilo unakuta ata kiwanja hakina sijui Nani aliwaroga hakili hakuna unajiuliza anafanya hayo kwa faida ipi unakosa ata jibu
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Wasisahau kuwa ndio alikuwa akimpigania mama ake apone pindi alipokuwa hai
 
Jamaa unaona mbali ilo unakuta ata kiwanja hakina sijui Nani aliwaroga hakili hakuna unajiuliza anafanya hayo kwa faida ipi unakosa ata jibu
Ila mkuu kwa nilivyofuatilia ule msiba nahisi kuna kitu hakiko sawa kwenye familia yao au ukoo kwa ujumla maana kitendo cha mwanamke kutangaza madeni mbele ya msiba mimi binafsi sijawahi kushuhudia ,

Hakuna wajomba
Hakuna baba mkubwa
Hakuna ndugu wa kiume ukoo mzima wa kutoa tangazo lile.
 
Hapo ni kwa wajomba zake,ila kwa ugonjwa wa mama yake angejiandaa hata kwa kupiga hiyo nyumba plasta na sakafu ya block...lolote hutokea unapokua na mgonjwa ambae hawezi kupona
Ili awaonyeshe watu😂😂😂

Hii nchi hii.... Sasa mtu anauguliwa yeye anawaza mama apone wewe unataka awaze kuandaa nyumba kwa ajili ya watu wa aina yako mkienda msibani?
 
We usipo angalia kabla huu mwaka haujaisha watakuponda mtori..

We kama umezaliwa kwenu umezikuta kaa kwa kutulia Mdogo angu.. Maisha hayafanani na usiishi kwa kukariri, Kuna wenzako wanatokea background za ajabu ambazo we Mungu akikupitisha nna waswas tabia yako ya kichoko itajidhihirisha wazwaz. Tena Chunga sana mdogo angu!
Acha kulia lia we master choko.
Ungenijua usingenitolea vimifano vya kutishia nyau hivyo.Af sipendagi kujisifia shida maana zilishanipa funzo la kutosha..
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
umesema kweli,ngoja nitoe mfano wa mother wangu mzazi japo sio vizuri sana kusema haya humu.babu yangu aliamsha miaka mingi sana akawaacha kina mother wadogo ila alimuachia bibi nyumba kubwa sana yani kiwanja kikubwa chenye nyumba za kupanga.kwa wakati ule zilikua nzima
baada ya miaka kupita mother ndio akawa anamuhudumia bibi sasa,chakula ,nguo na mavazi maana bibi ni mzee na zile nyumba zimeanguka hivo wapangaji ni wachache,mother kajipiga piga amemjengea bibi kajumba ka hali ya chini hivo basi mpumbavu akiona kale kajumba alafu amuangalie mother anatembea na gari basi anadhani mother anazingua kumbe anahangaika sana kumhudumia bibi hivo uwezo wa kujenga nyumba nzuri haupo
 
Mmejibiwa hivi
Screenshot_20211223-113841_1.jpg
 
Shida hawa wanaojifanya ni maalufu hapa mjini wanaishi maisha ambayo mda mwingine ni mateso kwao mtu anahitaji kuishi KWA ghalama kubwa Ili aonekane ni matawi ya juu kumbe ni choka mbaya tu
wakati mwingine wanalazimika kuwa hivo mfano masogange alimjengea nyumba nzuri baba yake kwa maisha hayo hayo ya ku fake, ifike wakati tusiwahukumu hawa wadada wa mjini
 
Usichanganye Mambo wazungu
Ila na wewe mleta uzi kwanini unafuatilia maisha yasiyokuwa yako? Wazungu hawajengi nyumba wengi wao wanaishi kwenye nyumba za mbao na wamepangishwa napenda maisha halisi ya kijijini
Wanaishi kwenye nyumba za mbao kwasababu Aina ya udongo haiwezi kusupoti nyumba ya mawe si kwamba hawawezi kujenga nyumba za mawe au Aina nyingine ila ni kwasababu ya Aina ya udongo uliopo huko.
 
Mastaa wetu sijui wanakwama wapi mjini fujo kibao halafu home miyeyusho
Kupitia kanumba
Agnes masogange
Albert mangwea.

Inaonyesha jinsi gani wasanii wetu wanavyotudanga kwenye mitandao ya ukiwakumbusha unaambulia matusi,

Kuna lile uwoya ndo halijielewi kabisa kila siku lipo hotelini.
kanumba mtoe hapo Mkuu, kanumba wakati yupo hai mama yake alikuwa anasafiri kwa ndege, kwangu mimi kanumba alikuwa kijana mdogo anayejaribu ku enjoy maisha,bora yeye alinunua viwanja
mimi nikipata hela kama za kanumba sitonunua hata kiwanja kwa maisha haya ya ujana, jamaa alijua ataendelea kuwepo so nyumba atajenga tu n pale alipopanga alisema ni pa kujiegesha tu
 
Lulu diva kwa Maisha aliyotokea ni mpampanaji kwakweli, from zero to superduper bongo, nampongeza kweli mwanamke mwenzangu, kuhusu kujenga hatajenga tu mbona ndo kaanzaanza ustar.
kujenga nyumba nzuri ni gharama sana,juzi mzee wangu ananiambia ametumia tsh mil 300 kujenga nyumba, mtu akiiona anacukulia poa tu
 
Mimi sioni cha ajabu hapo. Lulu Diva ni mpambanaji tu kama walivyo watu wengi nchi hii.

Alianza kuigiza, mambo yakagoma, akawa video vixen na sasa hivi anakomaa na kuimba.

Sasa sioni popote kama kuna sababu ya kushangaa.
Pia ana catering services
 
Back
Top Bottom