Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

Nasema nyumba ya tope kwa sababu Dar hajajenga anaongoza kwa kupanga mitaani huko hivo basi kwa kuwa yeye ni mtoto pekee wa mama na mama alikuwa na nyumba ya tope basi Luludiva ndio anaweka record ya kurithi na kuishi nyumba ya tope

View attachment 2052860

View attachment 2052861
Hapo ni nyumbani kwa mama ake, palikuwa ni mahali pa ndoto pa mamaake na sio pake. Nae ana maisha yake sasa na ndoto zake, msemeni kwa ndoto zake na sio za mzazi wake.
 
Luludiva ameuguza kwa miaka sita atapata wap hela za kujenga na kuuguza,kwa ambae hajawah kuuguza huo ugonjwa ataongea ila huo ugonjwa unakula hela sana clinic za kufikia dawa nazo ni kununua kila siku kwangu mimi lulu ni shujaa kuuguza ni kaz sana
Acha hizo, mbona pesa za kubadilisha magari na kununua mawigi ya milion 10 anazo? Yeye mwenyewe alisema wigi lake milion 10, hapa watu wanazungumzia kujenga nyumba unaleta habari za sijui alikua anauguza.
 
Hapo ni nyumbani kwa mama ake, palikuwa ni mahali pa ndoto pa mamaake na sio pake. Nae ana maisha yake sasa na ndoto zake, msemeni kwa ndoto zake na sio za mzazi wake.
Lulu akifa leo atapelekwa hapo kwa kuwa mjini kapanga, hata Kama palikua ndoto za mama yake alipaswa kubadilisha kidogo. Acheni kutetea ujinga
 
Shida ni kuwa ukiwaza ufanye ukarabati wakati mgonjwa bado anahitaji huduma na pesa zetu hizi za kuunga unga ndio unajikuta unaamua kukomaa tu na mgonjwa.
Hayo wanayaweza wenye pesa mana anaweza kufiwa ndani ya wiki nyumba ikajengwa ili sisi kina apeche alolo mtihani kwakweli.
Mbona mawigi ya milioni 10 alikua ananunua? Acheni kutetea ujinga, Kama kwa mdomo wake alisema ananunua mawigi milion 10 basi pesa ya kuuguza na kujenga anayo
 
Huna kwenu na upo jamii forum..utakua boya kabisaa
We usipo angalia kabla huu mwaka haujaisha watakuponda mtori..

We kama umezaliwa kwenu umezikuta kaa kwa kutulia Mdogo angu.. Maisha hayafanani na usiishi kwa kukariri, Kuna wenzako wanatokea background za ajabu ambazo we Mungu akikupitisha nna waswas tabia yako ya kichoko itajidhihirisha wazwaz. Tena Chunga sana mdogo angu!
 
sis watanzania tunaakil ndogo sana kwaio unahis waltoka kijijin na kuja kupanga mjin? kama taratbu za kwao n kuzka maeneo ya nyumban kwao ndio wajengee ukoo mzma nenda uchagan uone wachaga wananyumba za kawaida lakn uko mjin wana ma hekalu
Wanalala kwenye mazizi ya ng'ombe na ndama wao, akina mangi bana
 
Unajenga kwenu haujengi Nyumba ya Ukoo wewe peke yako!!!

Unaweza kuwa unawajengea wazazi wako, ila sio kuwajengea wajomba zako tena ambao wapo 9 ila wameshindwa kutumia akili.

Maisha yametofautiana ikiwa wewe unapambana kujenga kwenu, Lulu diva alikua anapambana kumuuguza mama yake!!

Kama ambavyo wewe unajenga kwenu kuna watu wazazi wao walishajenga makwao muda tu na wewe hapa wanakushangaa wazazi wako walishindwa vipi kujenga mpaka uje uwajengee wewe!!! maisha yametofautiana tusichekane tusibezane .....vipato na changamoto zipo tofauti.

binti mdogo asie na baba wala ndugu, kuuguza ugonjwa aina ule kwa miaka karibia 5 leo hii mnamsema kisa kujenga muwe na utu!!!
Hakuna sehemu nimesema wazazi wangu hawakujenga, ninachofanya sasa hivi ni cha kisasa ,sasa kama walijenga fashion za miaka ya 90 sasa hivi si imebadilika sana? Ndo maana yangu
 
Una akili Sana Dada mungu akutie wepesi na ufanikishe hitaji lako kwa hii attitude yako tu wewe ni Shujaa, Mimi nna ndugu zangu wengi wanapambana kuboresha na kujenga majumba yao tu, wanasahau kuwa hata wazazi wao wanahitaji maisha mazuri, Nipo napambana kuhakikisha wazazi wangu wanaishi vizuri
Fanya mwaya kila la kheri, mimi baba aliacha kajenga sema nyumba mitindo ya zamani. Pako safi tu sema sasa hivi watu wamejenga nyumba mpya naanza kuona haiendani na wakati.

All the best wazazi kwanza
 
mlitaka afanye nini hapo ni nyumbani kwa babu yake mzaa mama nadhani wajomba na mama wakubwa na wadogo ndio walikua wakumjengea baba yao yeye mjukuu labda ange mjengea mama yake kujenga sio matraco kila mtu anayo zingatia na kijiji hicho pia unaweza kukata upepo kwa kujenga tu.
 
Back
Top Bottom