Kutana Na Jogoo Anayeongea

Kutana Na Jogoo Anayeongea

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
Je Mnakumbuka Miaka Hiyo Mkiwa Udogoni Na Story Hii Pendwa Ambayo Mpaka Miaka Hii Haijapoteza Ubora Wake
 
Attachments

  • 250594_1083256555033868_1941095342015088142_n.jpg
    250594_1083256555033868_1941095342015088142_n.jpg
    9.7 KB · Views: 1,023
Watu watajulia wapi huyo. Siku hizi sijui wanasoma vitabu vya sayansi kimu tu...
 
Watu watajulia wapi huyo. Siku hizi sijui wanasoma vitabu vya sayansi kimu tu...

Ndo Naamini Kweli Humu Kuna Vitoto Vya Miaka 18 ndo maana hawajui chochote kuhusu hili
 
Ndo Naamini Kweli Humu Kuna Vitoto Vya Miaka 18 ndo maana hawajui chochote kuhusu hili

kwani tatizo liko wapi?? si na wao watafika tu miaka 80 ili wawe kama wewe.
 
umesema kutana na jogoo... sasa sioni kitu hapa niliandaa kisu kabisaaa nimuandae kwa supu

haumuoni mwenzio anachofanyiwa sasa hicho kisu chako si kingefua dafu
 
Hapo uliipooooooooooooo!!!
Pazi aka..........
 
nakumbuka huyo dogo alikuja kuninginizwa na huyo jogoo baada ya kuwa anawatesa sana kuku kwa kuwababa kichwa chini
_sasa hilo jogoo likalipiza kisasi tokea nisome hiyo adithi pale shari primary school enzi hizo basi huwa sipendi kuona kuku kabwebwa kichwa chini
 
watoto wakileo hawajui kabisa mambo haya kutokana na kukosa vitabu vyenye mvuto na mafundisho
 
Back
Top Bottom