Kutana na harusi ya aina yake

HHAHAHAHAA UNA UTANI NA ZAKARIA WEWEE... ETI JAMAA HALINA MBELE WALA NYUMA!!!!!!!!!! KWANI WEWE ULIJIUMBA? USIMPANGIE MUNGU KAZI YAKE!
 
Kwa hiyo jamaa hana haki ya kuoa kwa sababu sura lake baya?.....noma bana kaumbwa kwa mfano wa Mungu huyo .....!
 
Kuna umri ukifikia mapenz huwa how u communicate na sio how u two looks .......kuhusu uwanjan kuna ufundi kwa kila mtu...mpira wa rahim sterling n watofaut sana na caroll
 
Nawapongeza wanawake kwa kutojali maumbile ya mtu inapokuja suala la mapenzi! Vinginevyo walemavu wasingeoa kabisa!

Mlemavu kiwete kabisa lakini utakuta kaoa binti beautiful ile mbaya!!

Acheni hizo binadamu huijui kesho yako!!!
 
Mke atakuwa ana lala juu
Kila siku Mtindo mmoja, inakuwa sio kweli.

Tendo mtakuwa hamlifurahii.

Raha ya Faragha kubadili badili mitindo.

Sasa huyo jamaa siku akisema apige kifo cha mende (Missionary).

Wewe unafikiri Usalama utakuwepo kweli?
 
Pesa mkuu tafuta Pesa kwa juhudi zote.

Bila Pesa Jay Z angeishia kupiga nyeto na picha ya Beyonce.
 
Mwili wote huo usishangae jamaa kuwa kibamia.
 
Unajuaje kama jamaa ana pesa na binti hana?Acheni hizo,kwani sura siyo issue Bali utu wa ndani ndio kitu cha msingi
Ni maharusi wenye uwiano wa maumbo tofauti sana.
Ama kweli, mapenzi upofu

View attachment 455276 View attachment 455277 View attachment 455278
 
Mwili wote huo usishangae jamaa kuwa kibamia.
Unauliza kibamia kwa tumbo hilo[emoji15] mkuu acha masihara uliza kitu kingine hapo kibamia ndio nyumbani kwake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyie mnaoropoka...vipi mkiambiwa kuwa mwanamke ndo anamfadhili bonge?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…