Kutana na harusi ya aina yake

Acha kashfa..., unaposema ana sura mbaya kwan aliomba....!. Hebu weka hp picha yk nawe tuone km kweli umetimia idara zote. Yaan kuanzia ile ya mambo ya ndani na ya nje.
 
Ki Biologia jamaa anatakiwa aoe mwanamke km huyu coz maumbile yake yapo ndani sana ingekua vigumu kumuoa mwanamke anaelingana nae kimaumbile wasingeweza kugegedana kwani wote sehemu zao za sex ziko mbali lakini huyu kimbaumbau rahisi dushe kuzama ndani
 
Unashangaa wembamba wa reli, treni inapita.
 
Mlitaka huyo jamaa awaoe nyie!! Heshimuni utukufu wa Mungu! Eti kafata hela! Mawazo finyu tena huna akili kbs. Nini kinaonesha kuwa kafata hela? Umbo kubwa maana yake ni pesa? Pumba hizo.
 
Usihukumu usije ukahukumiwa..period
 
Mkuu,ukiona demu bomba kaolewa na dume lenye sura kama mkaanga sumu hapo ujue dume ni zee la dili na kinyume chake ni sahihi pia.
 
kwa hiyo huyo mwanaume asioe?!?!?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…