ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,240
- 1,102
Watu watakuponda na kukupinga ila ukweli ndio huo wanawake ni viumbe hatari sana haijawahi kutokeaWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Nakubaliana na hili ni upendo pekee ndio huwaunganisha wanandoa wawili bila kujali mapungufu ya mmoja kati yao.Upendo wa mtu, ndiyo pekee humuongoza kwenye chaguo lake. Ni msukumo utokao katikati kabisa ya roho yake.
akunusuru wewe mja wake kwani huyo mwingine si mja wake? acheni kukufuru kisa nyie mko vizuri.Toba yarabi...eeeh Mola tunusuru sisi waja wako.
Hat mimi nimebaki nashangaa iknibidi nirudi kungalia iD yake ina uelekeo wa jinsia gan.we mwanamke au mwanaume, you sound like a girl who has been left
What you wrote n what you wanted to mean are quite different. She has been dumped, that's your implication I guess mkuuwe mwana you sound like a girl who has been left
....aseeeakunusuru wewe mja wake kwani huyo mwingine si mja wake? acheni kukufuru kisa nyie mko vizuri.
Upende kwani unaolewa wewe? Tafuta wa kwako umpende, mwenzako hilo ndiyo chaguo lake.mnatetea ila hali halisi mnaiona kabisa, binafsi mi sijapenda
Mzee mbona kama unaumia sana sasa ulitaka amuoe naniWanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Kwa maoni yako huyu jamaa alitakiwa asipate mke?Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
Wewe ni nani usipopenda iwe sheria?mnatetea ila hali halisi mnaiona kabisa, binafsi mi sijapenda
kwani jamaa hana haki ya kuoa?Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.