Kutana na harusi ya aina yake

niiiiice.. wanawake nawakubali saana yani yan huko mitandaoni wanaongea na sifa kibao sijui six pack aende hewani sijui udambwi gani gani.. lakin mwisho file linafungwa hivi... keep it up
 
Wanawake ni viumbe hatari Sana, wanawake ni wawakilishi wa Lucifa kabisa.
Huyo binti hajaolewa na binadamu, bali kaolewa na pesa, jamaa lina sura mbaya na linatisha Kama Zakaria yule tajiri wa mabasi ya Tarime.
Aisee, acheni wanawake waitwe wanawake, they the most dangerous creatures in the world.
Yaani Kama ni Dada Yangu hiyo harusi ningeisusia aise.
Binti mrembo halafu jamaa halina mbele wala nyuma...
Wanawake ni hatari jamani, yaani hapo pesa ndo imeoa, kina miss chagga hawa waoneni hivyo hivyo tu ni balaa
 

we mwanamke au mwanaume, you sound like a girl who has been left
 
kuna wanawake humu JF wenye hulka kama za mabinti hao? mana kuna mmoja kashatajwa hapo juu sijui ni kweli!
 
Usimjudge mtu inawezakana ni mapenzi na siyo pesa kila mtu ana test yake. Wewe unaweza kumuona mbaya mwenzio hajiwezi kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…