Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Hivi nikitaka kujenga nyumba ya ghorofa moja lakini katika kusave gharama nikanunua cement na nondo kutoka kiwandani moja kwa moja as a retailer, nitakua nimesave au nothing changed? Kama nitafanikiwa kusave ni kiasi gani?

Tofali nitapendelea ya interlock
 

Bei ya Dukani - bei ya kiwandani = utakacho save
 
Mimi nipo kwenye finishing,
Nadhani nxt week ntaanza skimming kwa ndabi, je ukuta wa nje nao hufantiwa skimming km wa ndani au kuna marerial nyingine tofauti hasa kwa kuzingatia kuwa nje kuna weather tofauti tofauti.
Asante!!

Nitafurahi pia km utanishauri juu ya rangi za ndani na nje.

Nyumba iko Moshono-Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Skimming ya nje tunatumia white cement na rangi ya maji. Kuhusu kuchagua rangi, mteja anatumia rangi anayo ipenda.
 
Skimming ya nje tunatumia white cement na rangi ya maji. Kuhusu kuchagua rangi, mteja anatumia rangi anayo ipenda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…