Weka picha mkuuNyumba inapangishwa master na jiko kwa nje ipo ndani ya geti maji dawasco bei laki na nusu ipo karibu na stendi ya Afrikasana karibu kabisa na barabara ya lami mtu kahama jana tu...
Hii bado ipo mkuu ?? Toa mawasiliano tukuchek watsap kama bado ipoNyumba inapangishwa master na jiko kwa nje ipo ndani ya geti maji dawasco bei laki na nusu ipo karibu na stendi ya Afrikasana karibu kabisa na barabara ya lami mtu kahama jana tu...
ImechukuliwaHii bado ipo mkuu ?? Toa mawasiliano tukuchek watsap kama bado ipo
Shamba linauzwa linafaa kwa ufugaji na kilimo au kiwanda kidogo
LOCATION BOKO TIMIZA UKIVUKA RELI Km 2 toka Morogoro road
Kuna huduma zote za kijamii ikiwemo maji na umeme (Rea)
ukubwa jumla EKARI 4
BEI MIL 1 na Laki 5 TZS (1500,000 TZS) Kwa kila ekari 1
DOCUMENTS mkataba wa mauziano toka serikali ya mtaa
CALL
0718295182
0765505909![]()
Bado ipoWadau Nina nyumba nzima Tegeta,naipangisha
Ipo kwenye fence,inavyumba 4 moja master bedroom,
Self contained,uwanja mkubwa,mabanda na fremu
Bei ni laki 4.5 kwa mwezi
Maelewano yapo,
Ni yangu (sio Dalali)
0625833504 kwa mawasiliano
HapanaBado lipo?