Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

Kutana na dalali wa nyumba Dar es Salaam

APARTMENT 4 RENT KIGAMBONI KISIWANI KM 3 TOKA DARAJANI/FERRY DARESSALAAM TANZANIA
___
3 IN O1
________
2 bedrooms NO MASTERROOM
Sitting room
kitchen
Public Toilet
Tiles
Gypsum
fence&parking
slide windows
MAJI yako
Tiles
LUKU YAKO
____________________
Bei 300,000 TZS X miezi 6 +DALALI
CALL
0718295182
0765505909
e0a8ba7e3a17e25f3cfc5e3c28124cb7.jpg
 
Kwa bajeti ya 40,000 nahitaji chumba kizuri jangwani hadi KIMARA...isiwe na wapangaji wengi isiwe uswahilini sana kisiwe mbali sana kutoka barabarani...kama kipo tuwasiriane
 
Kwa bajeti ya 40,000 nahitaji chumba kizuri jangwani hadi KIMARA...isiwe na wapangaji wengi isiwe uswahilini sana kisiwe mbali sana kutoka barabarani...kama kipo tuwasiriane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo una pesa ndogo na masharti mengi

Mkuu nashauri tafuta pesa nzuri upate nyumba nzuri unless utaishi kwenye nyumba inayolingana na hiyo bei
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatizo una pesa ndogo na masharti mengi

Mkuu nashauri tafuta pesa nzuri upate nyumba nzuri unless utaishi kwenye nyumba inayolingana na hiyo bei
Nieleweshe hapo niongeze kiasi gani ili nipate chumba kwa vigezo hivyo?
 
Kwa bajeti ya 40,000 nahitaji chumba kizuri jangwani hadi KIMARA...isiwe na wapangaji wengi isiwe uswahilini sana kisiwe mbali sana kutoka barabarani...kama kipo tuwasiriane
[emoji15] Chief tuache maneno mengi kwa vigezo vyako hivyo unapata Kimara Baruti hadi mwisho chumba single choo mnashea watatu
Elfu 50 kwa mwezi
CALL
0718295182
0765505909
BANGOJEUPE
 
NAPANGISHA APARTMENT
LOCATION MBEZI BEACH AFRICANA DARESSALAAM TANZANIA DK 3 KWA MIGUU TOKA BAGAMOYO ROAD

1 BEDROOMS SELF CONTAINED +SEBULE +JIKO+TILES +GYPSUM +LUKU YAKO + MITA YA MAJI YAKO+FENCE&PACKING

KODI TZS 250,000XMIEZI 6+DALALI
CALL
0765505909
0718295182
66b3ae2d478a0b23b3503476531c08db.jpg
 
NAPANGISHA APARTMENT
LOCATION KIBAMBA KILUVYA MADUKANI DARESSALAAM TANZANIA DK 6 KWA MIGUU TOKA MAIN ROAD

3 BEDROOMS 1 SELF CONTAINED +SEBULE +JIKO+DINNING+TILES +GYPSUM+MAKABATI +LUKU YAKO + +FENCE&PACKING +AIR CONDITION

KODI TZS 400,000XMIEZI 6+DALALI
CALL
0765505909
0718295182
72bcb5ab7a25509131b363ee6be22fbf.jpg
 
Habari wakuu nahitaji chumba kizur ambacho kipo ndani ya fence maeneo ya mabibo mwisho bajeti yangu ni 60k
 
STANDING ALONE
LOCATION MWANANYAMALA NEAR HOSPITALI DK 2 KWA MIGUU TOKA MAIN ROAD

3 BEDROOMS 1 SELF CONTAINED +SEBULE +JIKO +LUKU YAKO + MAJI +MADIRISHA WAVU +FENCE&PACKING
NO TILES

KODI TZS 350,000XMIEZI 6+DALALI
CALL
0765505909
0718295182
7dc8f76f31e224cb8dc3ad5283719da0.jpg
 
Chief nahitaji nyumba inayojitegemea ningependa sana vikawa vyumba walau 3 si lazima sana master ila kama ipo ni vema zaidi pia iwe ndani ya fence. bajeti yangu 150 mpk 200 maeneo ya mabibo, external, ubungo, big brother na sehemu zinazokaribia na barabara pia luku ijitegemee na maji yawepo mda wote. kama naweza pata huduma nicheck kupitia 0673426517/0757930779
 
FOR RENT 3 IN ONE
LOCATION MSASANI BEACH BABERQUE

2 BEDROOMS ALL ARE SELF CONTAINED +SLIDE WINDOWS +SITTING ROOM +KITCHEN +LUKU YAKO + MAJI +PUBLIC TOILET +FENCE&PACKING +AIR CONDITION
FULL FURNISHED

PRICE 550USD X MONTH6+DALALI
CALL
0765505909
0718295182
b9606d7621e4fa17456e32525eabd15b.jpg
 
Mkuu Mimi Nina plot ya Sqm 1200 salasala,unaingilia mbuyuni na Ni 3km kutoka Bagamoyo Road.Natafuta partner wa kujenga nyumba za kupangisha.Kama inawezekana niambie.
 
Back
Top Bottom