NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
- Thread starter
- #61
Kuna kitanda tano kwa sita cha chuma kizuri kimetumika miez mitatu tu hakina godoro nitafutie laki moja tu
Kipo kihonda kwa chambo youth missionKuna kitanda tano kwa sita cha chuma kizuri kimetumika miez mitatu tu hakina godoro nitafutie laki moja tu
Sawa mkuu nitumie wasap picha hyo 0623246897Kipo kihonda kwa chambo youth mission
Mashamba mkuu yapo Kila hekari Moja laki mbili Na nusu tuwasiliane mkuu
Nataka chumba self
maeneo ya msamvu karibu na barabara ya lami. Ntapata kwa sh ngapi
Ntakucheck kwa whatsapp.
Mzee Kingo kumekuwa mjini kiasi hicho mzee baba kvp?Kingo Ni mjini kabisa pale labda ununue nyumba ya mtu kisha uvunje ufanye yako, Bila 30mil humtoi mtu pale.
Mkuu si unazungumzia mtaa wa kingo?? Au unazungumzia kingo ya wapi mkuu
Mkuu si unazungumzia mtaa wa kingo?? Au unazungumzia kingo ya wapi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app