NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
- Thread starter
- #41
Mkuu inategemea Na maeneo unayotaka mkuu
Chumba cha kawaida (single) ni kiasi gani?
Chumba cha kawaida (single) ni kiasi gani?
Range yake ipojeMkuu inategemea Na maeneo unayotaka mkuu
Cha mbali kiasi kutoka barabara/mjiniMkuu inategemea Na maeneo unayotaka mkuu
Mkuu kipo cha M6 Huku mkundi ni mjini maana cha milioni Moja kidogo sana Na sizani kama unaweza kupata ilikua jaman Sasa hivi pamepambazuka.nitapata kiwanja cha mil 1.5 maeneo ya mukundi?
Cha mbali kiasi kutoka barabara/mjini
Mkuu ni Morogoro kabisa au maeneo Gani mkuuMimi nahitaji ekari mbili hii barabara ya Bagamoyo kushuka dar .Nataka kuhama Mkoa wa Kilimanjaro .
Bagamoyo kama unakuja dar mkuu.sio MorogoroMkuu ni Morogoro kabisa au maeneo Gani mkuu
Kuna shamba lipo maeneo ya lugala hekari mbili Na nusu, Na lingine lipo kiegea hekari kumi mkuu tuwasilianeNatafuta shamba huko, lipo?
Nashukuru sana mkuuMatapeli nyie
Nashukuru sana mkuu
Mkuu chamwino kipo Na lugala kipo cha M 1.5 tuwasiliane mkuunitapata kiwanja cha mil 1.5 maeneo ya mukundi?
Hivi naomba nkulize mkuuHabari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,
Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta .
Mawasiliano 0673707284
What's app no 06236897
KARIBUNI WAKUU[emoji120]
Nitakupa jibu mkuuHivi naomba nkulize mkuu
Hivi nyumba iko karibu na shule ya bungo
Ina Angalia ile barabara ya lami inayoenda midizini
Kodi kwa mwezi inakwendaje?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Luhala wala Kiegea sipajui, weka maelezo vizuri.Kuna shamba lipo maeneo ya lugala hekari mbili Na nusu, Na lingine lipo kiegea hekari kumi mkuu tuwasiliane
Ntakucheck kwa whatsapp.