Mkuu nadhani ni wewe tu ndio unaweza ukashangaa.., hata tukiacha njia ya fountain ambayo huenda ikawa ngumu kwa mtu kuelewa.., hii hata wewe unaweza ukatengeneza just imagine hilo bomba juu limekuwa supported na bomba dogo katikakati ambalo limezibwa na maji yanayoshuka..., na hilo bomba dogo la katikati ndio linapeleka maji mpaka juu katikatika ya hilo bomba kubwa na kuyamwaga ambayo yanashuka mpaka chini tena..., kwa kutumia pump huu ni mzunguko wa maji yaleyale
Na kama utatumia bomba transparent unaweza ukatumia hata bomba kubwa lenye diameter kubwa