Kutambulika. . . .

Ila mahusiano na ndoa nyingi zinahusika sana na hayo hapo juu. . . .
Kama ni mke mume anamtambua kama mke jina tu ila matendo mazuri na haki za mke zinaelekezwa kwa mtu mwingine. Mume nae hamna analopata kwa mke zaidi ya kulala nae kitanda kimoja. Kazi zote dada w
a kazi, unyumba hamna na hata anapoongeleshwa anafokewa tu.

Mpenzi/mchumba nae anatreatiwa kama choo cha barabarani akiwa ndani ila nje kila mtu anamkubali na kumsifia kwa kuwa na fulani.

Kweli kabisa
Yaani kuna mazingira unatambulika kama mke na mengine uko kama kioo tuu waka uwepo wako hautambuliki
Yaani mbele za watu wewe ni nobody na wala hatakutambulisha kama mkewe wala mpenzi wake
Ila ukirudi nyumbani mbele ya wale wanafamilia ndo anakutambulisha
na mazingira mengine unatambulishwa nje kama mpenzi au mke ila ndani ya familia yake wewe si lolote wala huna thamani
Haya mambo yapo sana na kwa kweli sometime mioyo ya watu na nyumba zinaficha mengi sana
Unaweza shangaa couple wako sehem wanacheka na kugongesheana glass wakiwa mbele ya watu ila wakiwa pamoja ni fulkl kunua na hakuna maongezi yoyote
Au wanaenda pamoja sehem wakishafika kwenye eneo la tukio kila mmoja na hamsini zake na kila mmioja na rafiki zake na mambo yake
 
Kwanza..... The while day umekuwa kimya. Ghafla unapanga mahusiano kwenye makundi. This can only come from you. How was your day and how will your weekend be LiZzy?
 
Na bado watu wanaishi nayo. . .
Ndio maana nikauliza kipi hapo ni bora. .
Embu niambie wewe Mr Rocky. . . na usiniambie kukubalika kotekote.
 
Jibu swali basi Doc. . .

My day was alright. . .and my weekend will be hectic. Vipi kwako?
 
Na bado watu wanaishi nayo. . .
Ndio maana nikauliza kipi hapo ni bora. .
Embu niambie wewe Mr Rocky. . . na usiniambie kukubalika kotekote.

What I can say to you Lizzy
Namkubali na namtangaza she is the one and the only one
To my family and to my friends and to the society at large
Am proud of having her as my wife and mother of my kids
 
Kama utakuwa umemuelewa vizuri mleta mada ni kwamba, Mwanaume unaweza ukawa na girlfriend beautiful one lakini wewe ndio unajuwa kama huyu hawezi kuwa mke wangu na unakuwa na sababu zako za msingi kwa nini huwezi kumuoa, lakini at the same time unakuwa Dictator unataka uwe nae kwa sababu anafeet kama galfriend, lakini ukweli unakuwa unampotezea muda binti wa watu, hili halina ubishi wanaume tumearibu sana future za wanawake.

Vivyo hivyo kuna wanawake wengine wanakuwa na mwanaume kwa ajili ya kumchuna tu, kiufupi unageuzwa SACCOS lakini mwanamke either anakuwa na mtu wake mwingine au hata kama hana mtu mwingine lakini wewe unakuwa sio miongoni mwa chaguo la moyo wake kuwa mume. Hii mada inaangukia kwenye tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani.
 
LiZzy. Kusema kweli mimi sijakutana na situation kama hii in real life. Cross my heart, Nimejaribu to keep away from women after discovering the woman I was living with was double crossing me. I had two beautiful doughters with her and had to let her go. My 2nd was arranged by my family and we R together blessed with two boys and a girl.

My first alinitambulisha kwa na nilikuwa nimekubalika ingawaje ilikuwa sio chaguo la family yangu lakini walimkubali. Yalipo nitokea saana walikuwa wananiambia; si tulikuambia, unaona sasa.

I am planning kuongeza wa pili ambaye yuko nursing college Mtwara. Huyu kwao ninatambulika na kwetu well so and so. Marafiki zake waliopo hapa saaana wananitembelea home. Lakini my wife amekubali shingo upande. Maadili ya kidini yanambana.

I hope nimekujibu lakini kwa mifano ya life yangu.
 
Kama utakuwa umemuelewa vizuri mleta mada ni kwamba, Mwanaume unaweza ukawa na girlfriend beautiful one lakini wewe ndio unajuwa kama huyu hawezi kuwa mke wangu na unakuwa na sababu zako za msingi kwa nini huwezi kumuoa, lakini at the same time unakuwa Dictator unataka uwe nae kwa sababu anafeet kama galfriend, lakini ukweli unakuwa unampotezea muda binti wa watu, hili halina ubishi wanaume tumearibu sana future za wanawake.

Vivyo hivyo kuna wanawake wengine wanakuwa na mwanaume kwa ajili ya kumchuna tu, kiufupi unageuzwa SACCOS lakini mwanamke either anakuwa na mtu wake mwingine au hata kama hana mtu mwingine lakini wewe unakuwa sio miongoni mwa chaguo la moyo wake kuwa mume. Hii mada inaangukia kwenye tofauti kubwa kati ya kupenda na kutamani.

Mkuu Matola nakubaliana na uchambuzi wako hapa
Ila Lizzy kuna swali ameniuliza hapo juu ndo maana nikatoka na such statement
Ila kwa upande mmoja kweli tumeharibu sana future ya wanawake wengi kwa matendo yetu na kwa upande nao wamachangia kuharibu yetu maana ,ile kuwa na mtu ukijua kuwa she is the one kumbe unefanywa SACCOS bila kujijua ni uharibifu
 
Back
Top Bottom