vandiayke
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 266
- 88
Duh mjane sijui unaingia na gia ya rambirambi!
Wewe wasema! !
Duh mjane sijui unaingia na gia ya rambirambi!
Shida iko wapi kufariji wajane?
Mjane akifiwa maana yake ile nafasi ya marehemu iko wazi ni juhudi zako kuipata na kuziba pengo.
Jamaa yangu mmoja ni mtaalam kwa wajane ananiambia wajane wazuri sana, hawana shida kabisa.