Kutahiriwa

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,380
Heshima kwenu wote mnaostahili kuheshimiwa,

Naomba kujua umri sahihi wa mtoto wa kiume kutahiriwa,maana nimekupa napat changamoto sana,mtaani kwangu kuona watoto wadogo chini ya miaka miwili wakiwa wametahiriwa na penis zao zikiwa ndogo kama piritoni,huwa najiuliza kwanini wasinge achwa hazi penis zao zikue kubwa?
Au ni sababu za kiimani au?

Nawatakia kila la heri kwenye wikiendi hii na nyinginezo.
 
mtahiri akifikisha miaka11+ hivi akitairiwa mapema dushelele linakuwa dogo kimwonekano ila likidind* linakuw sawa
 
ss kama yeye anataka kumtahiri mapema ni sahihi ila ni vizuri akachelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom