Kutahiri au kutotahiri?

mhh wewe bwana ndo kusemaje sasa?wenye bakteria weng ndo watahiriwe?

Hapana dadangu,

Kama wanawake wanao bakteria wengi kwa nini wanadai kuwa umme ambao haujatahiri unabeba uchafu sana? Yaani sioni sababu ya kunyanyapaa watu ambao hawajatahiri kwa sababu eti ni uchafu. Na je wanaochezea njia ya haja kubwa je?

Ni marafiki angu wengi huko Kagera, ujaluoni na Uganda...wasinyanyapaliwe kwa sababu hiyo. Labda kama kuna sababu nyingine.
 
Hapana dadangu,

Kama wanawake wanao bakteria wengi kwa nini wanadai kuwa umme ambao haujatahiri unabeba uchafu sana? Yaani sioni sababu ya kunyanyapaa watu ambao hawajatahiri kwa sababu eti ni uchafu. Na je wanaochezea njia ya haja kubwa je?

Ni marafiki angu wengi huko Kagera, ujaluoni na Uganda...wasinyanyapaliwe kwa sababu hiyo. Labda kama kuna sababu nyingine.

Hebu fafanua kidogo hapo mkuu
 
wewe kaka hao bakteria wako wapi kwa akina mama? wanazaliwa nao au utundu wao ndo unawasababishia waingie ndani kwa kujiweka vitu visivyotakiwa mara kujichokonoa(doutche),kufanya tendo ambalo linahusisha bakteria walio nje ya uume loh wanawake hawana bakteria bali wanaletewa bakteria kwa wale wanaoshiriki sana tendo la kujamiiana.

Sehemu nyingi za mwili wa binadamu zina bakteria wanaoishi pale kama vile simba na swala wanavyoishi mbugani serengeti. Hawa huanza kuingia kutoka kwenye mazingira yetu mara tu baada ya kuzaliwa. Hawana madhara yoyote labda kama kuna mabadiliko ya ghafla. Kwa hiyo hata mdomoni, kwenye matumbo kuna bacteria kibao. Ukiacha njia ya haja kubwa, ukeni ni sehemu ambayo kuna bacteria wa aina nyingi sana.

Hao wadudu hawaingii wakati wa ngono wala nini......Umeelewa hapo?
 
mkuu angalia hapo usije ukawakwaza watu! si unajua kuwa hiyo ni kama escaping route

Nitafurahi sana kama wakiwazika.....Yaani mtu anapinga kuona au kucheza na socks wakati anacheza na msalani....

Very disgusting........
 
Naona kwanza tupate vitu kidogo ....soma hapa chini

Male circumcision is the removal of some or all of the foreskin (prepuce) from the penis.[1] The word "circumcision" comes from Latin circum (meaning "around") and cædere (meaning "to cut"). Early depictions of circumcision are found in cave paintings and Ancient Egyptian tombs, though some pictures are open to interpretation.[2][3][4] Religious male circumcision is considered a commandment from God in Judaism.[5] In Islam, though not discussed in the Qur'an, male circumcision is widely practised and most often considered to be a sunnah.[6] It is also customary in some Christian churches in Africa, including some Oriental Orthodox Churches.[7]


Circumcision - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Pia hapa....

According to the World Health Organization (WHO), global estimates suggest that 30% of males are circumcised, of whom 68% are Muslim.[8] The prevalence of circumcision varies mostly with religious affiliation, and sometimes culture. Most circumcisions are performed during adolescence for cultural or religious reasons;[9] in some countries they are more commonly performed during infancy.[8]

Circumcision - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ugomvi unaanzia hapa ....

There is controversy regarding circumcision. Arguments that have been raised in favour of circumcision include that it provides important health advantages which outweigh the risks, has no substantial effects on sexual function, has a low complication rate when carried out by an experienced physician, and is best performed during the neonatal period.[10] Those raised in opposition to circumcision include that it adversely affects penile function and sexual pleasure, is justified by medical myths, is extremely painful, and is a violation of human rights.[11]
The American Medical Association report of 1999, which was "…confined to circumcisions that are not performed for ritualistic or religious purposes," states that "Virtually all current policy statements from specialty societies and medical organizations do not recommend routine neonatal circumcision, and support the provision of accurate and unbiased information to parents to inform their choice."[12]
The World Health Organization (WHO; 2007), the Joint United Nations Programme on HIV/AIDS (UNAIDS; 2007), and the Centers for Disease Control and Prevention (CDC; 2008) state that evidence indicates male circumcision significantly reduces the risk of HIV acquisition by men during penile-vaginal sex, but also state that circumcision only provides partial protection and should not replace other interventions to prevent transmission of HIV.


Circumcision - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Govi noma! Kama unalo kaliondoe haraka sana au jamaa yako kama analo mshauri akaliondoe haraka sana
 
mimi naenda kulitafta govi langu walirudishe nilitahiriwa bira ridhaa yangu. Kwa hoja ya mleta mada kuna haja sasa ya kuwa tunasubiri watoto wakue na waamue wenyewe kutahili au la
 
umh, wewe mwana wa Mungu sasa hapo balaa. umeeleza kinagaubaga...

Nimekuelewa mwana wa mungu lakini haya yote ya kukatwa govi yalikuwa katika Agano la kale,....anyway ni hivi kanisa katika agano jipya lilikataa kuanzisha utaratibu wa kukatwa govi kwa wasio wayahudi waliobatizwa,...naomba usome vizuri mafungu haya ya biblia mwana wa Mungu kuhusu Tohara: Matendo ya Mitume 15, Warumi 3:30, Wakorintho wa kwanza 7:9, Wagalatia 5:2, Wagalatia 6:15, Wafilipi 3:3 na Wakolosai 2:11.
Naamini hata muuliza swali mafungu haya yanaweza kumpatia ufahamu juu ya tohara hii ya karne ya 21 na sio maelezo yaliyojengwa juu ya ukimwi na usafi
 
sijui kwa mataifa mengine, ila waisrael na watoto wote wa ishmael(baadhi ya waarabu)walilazimishwa na Mungu wa Ibrahimu ambaye ndiye Mungu wetu sisi sote kutahiri watoto wao siku ya nane baada ya kuzaliwa. hivyo kwao ni lazima na ni agano la milele. kwetu sisi mataifa mengine, tunatahiri traditionally kwa imani za asili pia. ila mantiki ni kwamba, ukitahiri, unakuwa msafi sana. pia ngozi yako ya uume pale kwenye kichwa inakuwa kavu na ngumu kidogo. hivyo sio rahisi kuchubuka wakati wa sex. kwa wale wasiotahiri, wanapofanya mapenzi, ile govi huwa inachubuka, ni laini sana kwasababu inakaa mbichi muda wote kutokana na mkojo na manii yanayotoka usiku. asipoosha inakuwa chafu na inaweza kunuka. pia kama hataosha manii yataganda ndani na nirahisi sana akigusha sehemu yoyote yenyi bakteria, wakamvamia kwasababu environment ya hilo govi ni suitable for bacteria. bali kwa yule aliyetahiri, inakuwa kavu kama ulivyo mkono tu, na ni safi. akifanya mapenzi anaweza hata akafanya kama livyofanya Zuma kule south, uchafu umeshatoka wote. so, nafikiri, kutahiri ni kitu safi sana, na pia inaondoe inferiority ya mwanamme mbele ya mwanamke,kwasabab wadada wa siku hizi ukiwa hujatahiri, wanakukimbia wote, na watakusema huko masaluni kwao kama nini....kwaheri.


Nimekuelewa mwana wa mungu lakini haya yote ya kukatwa govi yalikuwa katika Agano la kale,....anyway ni hivi kanisa katika agano jipya lilikataa kuanzisha utaratibu wa kukatwa govi kwa wasio wayahudi waliobatizwa,...naomba usome vizuri mafungu haya ya biblia mwana wa Mungu kuhusu Tohara: Matendo ya Mitume 15, Warumi 3:30, Wakorintho wa kwanza 7:9, Wagalatia 5:2, Wagalatia 6:15, Wafilipi 3:3 na Wakolosai 2:11.
Naamini hata muuliza swali mafungu haya yanaweza kumpatia ufahamu juu ya tohara hii ya karne ya 21 na sio maelezo yaliyojengwa juu ya ukimwi na usafi
 
Kumekuwa na jitihada za kupiga vita ukeketaji wa wanawake kutokana na ukweli kwamba kitendo hicho kinawaletea madhara makubwa wanawake nyakati za uzazi na pia kuwapunguzia na hata wakati wingine kuwaondolea kabisa hamu ya kufanya tendo la kujamihiana achilia mbali maumivu wayapatayo wakati wa kukeketwa.

Hili halina ubishi; ila mimi huwa najiuliza, JF Doctor unisaidie kwa hili, hivi Mungu alivyotuumba sisi wanaume na govi hakuwa amemaanisha kwamba litakuwa na kazi na manufaa kwa mwanamume huyu?; au kwa lugha nyingine niulize hivi, kazi ya govi ni nini?. Je haiwezekani kwamba tunavyotahiriwa huwa tunapunguza ladha ya tendo la kujamihiana kwa mwanamume na mwanamke kwa pamoja. Bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wanaume wa karne ya 21 wanatahiriwa wakiwa wadogo sana kiasi kwamba huwezi kupata fursa ya kutofautisha tendo la kujamihiana wakati ukiwa na govi na wakati ukiwa umetahiriwa. Wataalamu mnejuze

Soma mafungu haya mkuu km ni mkristo naamin utaelewa vyema
Matendo ya Mitume 15, Warumi 3:30, Wakorintho wa kwanza 7:9, Wagalatia 5:2, Wagalatia 6:15, Wafilipi 3:3 na Wakolosai 2:11.
 
wewe kaka hao bakteria wako wapi kwa akina mama? wanazaliwa nao au utundu wao ndo unawasababishia waingie ndani kwa kujiweka vitu visivyotakiwa mara kujichokonoa(doutche),kufanya tendo ambalo linahusisha bakteria walio nje ya uume loh wanawake hawana bakteria bali wanaletewa bakteria kwa wale wanaoshiriki sana tendo la kujamiiana.

There are good bacterial in the vagina;
Bacterial Vaginosis Causes, Symptoms, and Treatments
 
Ila bandugu govi siyo structure ya binadamu ambayo ipoipo tu kama let say appendix.govi liko very rich in nerve supply kwahiyo watu wenye magovi wanasikia raha zaidi wakati wa mapenzi kuliko wasiyonayo.Wengi wetu tumetahiriwa tukiwa wadogo hivyo hatuoni tofauti.Lakini waliotahiriwa wakati tayari wameshafanya ngono wanajuta kwanini walitahiri.

Ni sawa sawa na kumwambia mtu aliyezaliwa na kukua akila mayai ya kisasa, ukimwambia utamu na ubora wa mayai ya kienyeji wakati hajawahi kuyala hawezi kukuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom