Kutahamaki kumbe ulimi wangu uko mdomoni mwa bibi kizee

Nitonye,
ugoro ulikuhusu asee!lakini vip mwitikio wa kikongwe ulikua A?
 
dah! Swahiba huu mwaka wetu wa mikosi. Shem wako kanibwaga huku shem nitonye nae kumbe cv yake sio safi. Kha!

Bibi kizee ndiye aliyeichafua lakini haiwezi kuwa included kwenye experience
 
dah! Swahiba huu mwaka wetu wa mikosi. Shem wako kanibwaga huku shem nitonye nae kumbe cv yake sio safi. Kha!
Hahahaaaa, hivi shemu kawaje swahiba manake nimeshangaa alivyokubwaga live bila chenga lol...

huyu nitonye we muache dawa yake iko jikoni manake amenisimlia mambo yake yote ya utotoni ila la bi kizee hakunambia anakuja kuliweka humu jf, namtafakari kwa kina swahiba..
 
najaribu kujenga mazingira hiyo ishu ilikuaje, sipati picha naona kama umeamua kutuchangamsha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom