A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 479
- 1,015
Utajiri ni siri, hakuna mtu atakupa "code" ya utajiri wake. Sana sana atakwambia nilianza na buku tuu.
Utajiri ni siri, hakuna mtu atakupa "code" ya utajiri wake. Sana sana atakwambia nilianza na buku tuu.
Kwani ni matajiri wangapi wamefia huko India, na hela wanazo mkuu?
Huo ni ulimbukeni sasa, kwani wazee wetu miaka hiyo, mbona walikua hawtegemei hizi TIBA za kigeni je walikua hawaugui?Kinachoongelewa hapa mkuu, ni ile kutokwenda sehemu fulani kutokana na ukosefu wa hela.
Huo ni ulimbukeni sasa, kwani wazee wetu miaka hiyo, mbona walikua hawtegemei hizi TIBA za kigeni je walikua hawaugui?
Haswaaa!Utajiri ni siri, hakuna mtu atakupa "code" ya utajiri wake. Sana sana atakwambia nilianza na buku tuu.![]()



Shida ni kia wengine pia wamefika huko ila wakafariki, sema Nini tuombe MUNGU asitupe umasikini ni mtihani Kwa kweliHakuna kitu kibaya, upo unaumwa na hospitali zilizopo haziwezi kukutibu kutokana na utaalamu, alafu unaambiwa kuna daktari mzuri yupo ujerumani ambaye anaweza kumaliza tatizo lako, na ulitaka uende akakutibu ila kutokana na salio, ukajikuta umefia hapo wilayani.
Coc hujambo wewe?Haswaaa!![]()
Kama demand ipo watatajirikaVipi wale wanaofungua jicho la tatu (jicho la katikati ya makebo) kama biashara mpya, nao watatajirika?
Akina Tanganian.
Basi nawatakia kila la heri katika biashara yao.Kama demand ipo watatajirika
Tatizo inaonekana supply imezidi demand na quality nyingi ni za chini , supplier inabidi wajiongeze ili waweze kustand out 😁Basi nawatakia kila la heri katika biashara yao.
Kweli kabisa wauzaji inabidi wajiongeze ilikusudi wapate soko maana wanunuzi si wengi sana. Pia watangaze biashara yao bila kusita.Tatizo inaonekana supply imezidi demand na quality nyingi ni za chini , supplier inabidi wajiongeze ili waweze kustand out 😁
Uko sahihi, ingawa si wote wanaotatua matatizo ya watu ni matajiri.Njia rahisi ya kutajirika ni kutafuta matatizo ya watu na kuyapatia solution
SijamboCoc hujambo wewe?
Coc unakumbuka I'd big brother alexSijambo
Kuna nini??Coc unakumbuka I'd big brother alex
Ndio Mimi bhana nilisahau pwd, nilichanganya, coc hivo nilipotea hum muda sanaKuna nini??
Poleee sanaa.Ndio Mimi bhana nilisahau pwd, nilichanganya, coc hivo nilipotea hum muda sana
Coca Asante, but tangu kipindi kile coc, NA SEMA ni jinsi gani navutiwa nawe, nakupenda San basi tu, ila nihakikishie usalama nisije katwa kichwa na waja si unajua ubinadamu haupo tena siku hizi. MAPENZI yamegeuka tiketi ya kuondolewa duniani, daahPoleee sanaa.
Vipi wale wanaofungua jicho la tatu (jicho la katikati ya makebo) kama biashara mpya, nao watatajirika?
Akina
[/QUOTE]
Kama unapenda starehe za kidunia, ukipatsi pita nayo.