Mtazamaji mapenzi ni nini.mapenzi yanatoka wapi na je niende wapi au nifanye nini nipate mapenzi ya kweli? Haya ndio baadhi tuu ya maswala ambayo wengi hujiuliza pale wanapowaona wawili wakipendana au mapenzi kwenda mrama. Lakini kwa Bwana na Bi Govi kwao
walikuwa hawana budi ila kufanya kila mbinu ili kupata mapenzi ya kweli ikiwemo kuweka picha zao katika mtanadao, kwani kwao kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa upishi katika mapenzi
On a serious note, I don't believe in cyber love. Naamini unaweza kukutana na great people mtandaoni, mkajenga urafiki wa muda mrefu sana na mkatokea ku-fall in love. Intention ya mwanzo haipaswi kuwa mapenzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.