simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
The people have spoken ,ujumbe umefika loud and clear.
Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Katika kusheherekea na kufurahia ushindi wa simba hapo jana niliona nipombeke kidogo
ndipo nikajikuta mzigo kama unakata hivi...Kiukweli hakuna anayependa kutumia miamala ya simu ila mazingira ndo yanatulazimu.