Kusonya ni dalili ya kutoridhika na kitu fulani.Ikitokea kwenye mahusiano ni dalili mbaya sana. Ni vizuri umwulize sonya yake ina maana gani ili aeleze kutumia maneno yanayoeleweka ili kama kuna maudhi, yarekebishwe. Tabia ya kusonya imeenea sana hasa kwa akina mamazetu