Kusomesha watoto shule za private ni matumizi mabaya ya fedha

Tuoneshe wewe matumizi yako mazuri ya pesa ni yapi?. Haya maisha tusipangiane cha kufanya, shule kama huiwezi kulipa ada tafuta ya size yako acha kujipa umuhimu ili uonekane unahoja ya msingi. Maamuzi yako sio waraka kwa watu wengine wayafuate.
 
Tuoneshe wewe matumizi yako mazuri ya pesa ni yapi?. Haya maisha tusipangiane cha kufanya, shule kama huiwezi kulipa ada tafuta ya size yako acha kujipa umuhimu ili uonekane unahoja ya msingi. Maamuzi yako sio waraka kwa watu wengine wayafuate.
Ukweli lazima usemwe na nitaendelea kusema maana wabongo tumekalili sana aya maada anazofundishwa private ni tofauti na umma au vp??
mtihani wa mwisho je au nyie izo hera hamna kazi nazo
 
Aah wapi... kwa nini asome kwa mateso na hela ipo? Vipi siku hizi shule za serikali wanamaliza syllabus au ndio mpaka uende tuition?
Wanamaliza mbona, shule binafsi ni biashara za watu kiongozi unajidanganya et mtoto wangu ana akili kumbe zakupewa majibu tu, mtoto aliesoma umma nikipanga mzee kichwa ni kichwaa yaani kabasua kweli ni kweli yaani.
 
Cha ajabu wanahangaika na hizo shule zao, wakifika chuo tunakutana nao SUA, UDSM, DUCE
 
Kwa hiyo mindset Una safari ndefu Sana , haujui na kutambua umuhimu wa kesho ya watoto wako.
Umuhimu gani mkuu?? Elimu ataipata shule za umma, shule za umma ni zaidi ya jeshi mtoto anajitafuta ad anafanikiwa sio kupewa majibu apate div 1 ya hamna kitu . Wazazi msidanganye private nikumuua mtoto kiakili hawez kufikilia kujitafutia yeye ni kumeza tu yaani sisi tumepiga pindi kwelikweli na tumetoboa nataka mwnng anifuate mm njia zangu
 
Huenda hayo ndo yamechangia pakubwa kwenye mafanikio yako usidharau ulikopitia mkuu
 


Umeshaona hao viongozi Wa serikali wakisomesha watoto wao katika hizo shule.
 
Na ni nyingi sio moja, nyingi sana wanakaa chini mzee.

Wazazi wa dar wako bize na kusaka noti na sio malezi.
Kwani serikali haioni ila inaacha ili wajifunze pia jeshi kuna viti ila wanakaa chini muda mwingi kwanini, hayo ni mafunzo ya maisha
 
Umama huo sisi mbona tumesoma hadi chuo kikuu na tumesoma hivyohivyo, watoto wenu wakianza kuwa mashoga ndo muanze kuilaumu serikali.
 
Huenda hayo ndo yamechangia pakubwa kwenye mafanikio yako usidharau ulikopitia mkuu
sina mafanikio yeyote mkuu ni ile tu hali kuna maisha unaishi unasema nitapigana kufakupona vijana wangu wasipitie haya mapito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…