Kusoma sio kuelimika, Tundu Lissu Sheria hujaijua bado

Wewe nawe sisi huko tulishatoka maana haya. Mambo hufanyika kwa Siri Sana achana na hiyo kwanza tujadili ya ujezi was madaraja na ndege
 
LISU LISU LISU jamani Ni hatari.
Wamezuia media zisimuoneshe then wanahangaika humu kumjadili tena wanambeza kwamba si lolote, mtu asiye lolote kajaza thread zote humu Jf??!!

Infact:
Lissu is the HEAD, that's why he makes the headlines.

He is the TOP, that's why he makes their top stories.
 
Nadhani Watu wengi wanavua Akili zao na Kuzikalia wakati Wanajibu Hoja ya post Hii..! Wacha labda TUACHE MUDA UONGEE!
 
Dah huyu Lissu anafanya watu wasilale, huku Lissu kule Lissu! Team masifa wamesahau hadi kumsifia Meko wanampa airtime Lissu tu.
Ni kawaida! Njia ikiwa na mwendawazimu, lazima wapitaji wawe na tahadhari. Lissu mropokaji! Tatizo pia anaomba kura kwa wa-TZ huki akiamini ulaya na amerika wanamuona.
 
Wamezuia media zisimuoneshe then wanahangaika humu kumjadili tena wanambeza kwamba si lolote, mtu asiye lolote kajaza thread zote humu Jf??!!

Infact:
Lissu is the HEAD, that's why he makes the headlines.

He is the TOP, that's why he makes their top stories.

Hapana bint listen.. Hapa Tunaongelea Mstakabali Mpana wa SIASA Za Upinzani! Thread Yangu Ililenga Kumweka Mgombea wetu kwenye Nafasi Nzuri Leo Hata Baada ya Uchaguzi! Lakini kama Unaona tunamporomoshea Mawe potezea Muda Utaongea wakati wake!
 
Wewe ukiwa kwako alafu kuna chumba wanakaa vijana wako wa kiume wawili au jamaa zako wawili wa kiume. Na ghafla mkasikia miguno ya kingono na mmoja anapiga miguno kama ya kwenye porn mtawaacha kisa ni right to privacy? Ushoga upo lakini ndio autetee kisa kuna right to privacy?

Mkuu naona una shida ya comprehension, tunajadili muktadha wa kitaifa unaniuliza me ntachukua hatua gani?

Sasa me nikikataa au kuukubali ndiyo itakuwa sheria kwa taifa? Kwa nini ushindwe kuikosoa serikali yako ya ccm unayoiunga mkono kwa kuruhusu ushoga unaanza kuniuliza me nitachukuliaje?

Serikali hii ya ccm ikiamua kama ambavyo imewahi kuamua na kupitisha hata mambo ya hovyo kuwa ni sheria inaweza kupiga marufuku ushoga, kwa nini hawafanyi hivyo?

Ccm imepitisha sheria nyingi za hovyo ikiwemo za kuminya uhuru wa kutoa maoni na kupashana habari, imezuia bunge live, imepitisha sheria mbovu za madini nk nk. Kawaulize kwa nini hawapitishi sheria kukataza ushoga kama hawaupendi?
 
umetumia muda .wingi sana kuandika huu utumbo wako.
tuletee idadi za kesi za tundu mwenyawe na na zile za wateja wake ambazo alishinda na na alizoshindwa.
Labda hoja yako inaweza kuwa ya maana
 
Emu nawe tutolee utoporo wako nenda katulie afu utaandika tena maana maneno mengi afu point hakuna
 
Mkuu naona una shida ya comprehension, tunajadili muktadha wa kitaifa unaniuliza me ntachukua hatua gani?

Sasa me nikikataa au kuukubali ndiyo itakuwa sheria kwa taifa? Kwa nini ushindwe kuikosoa serikali yako ya ccm unayoiunga mkono kwa kuruhusu ushoga unaanza kuniuliza me nitachukuliaje?

Serikali hii ya ccm ikiamua kama ambavyo imewahi kuamua na kupitisha hata mambo ya hovyo kuwa ni sheria inaweza kupiga marufuku ushoga, kwa nini hawafanyi hivyo?

Ccm imepitisha sheria nyingi za hovyo ikiwemo za kuminya uhuru wa kutoa maoni na kupashana habari, imezuia bunge live, imepitisha sheria mbovu za madini nk nk. Kawaulize kwa nini hawapitishi sheria kukataza ushoga kama hawaupendi?
Huna akili na mpumbavu mkubwa. Hapa Tanzania hakuna sheria inayozuia ushoga?
Nimekuuliza nikijua unafahamu kuwa ni kosa,kumbe ni mbumbumbu unayejifanya unajua.
 
Wewe Ngumbaru wa Lumumba serikali ilishashinda kesi ngapi dhidi ya Tundu Lissu?

CCM na serikali kwa ujumla kuna wanasheria takataka tu, hakuna hata mmoja wakumkaribia Tundu Lissu.
Nyie ndo wale mliokuwa mnasema afrika nzima kuna wakina prof lipumba sita tuuu kwa usomi wake
 
Back
Top Bottom