Kusoma fani tofauti.

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Habari wana Jf.
Waungwana naombeni ushauri wenu,nimemaliza degree ya kwanza,bado sijaajiriwa,natarajia kwenda chuo kwa postgraduate diploma,ila nawaza nisome fani ile ile ama nisome fani nyingine...,vp kwa wenye uzoefu na haya mambo,ipi itanisaidia ili niweze compete vizuri ktk soko la ajira?
Karibuni....
 
Usihemke bure. Ukiona unaulizwa maswali lukuki kinyume na matarajio yako jua umechemsha kwenye kusuka mada yako. Hili ni jambo la kawaida wala uhitaji kuita wadau vimberembere na majina mengine ya ajabu. Kusoma fani moja au zaidi hutegemea na ulichosemea kwenye shahada yako ya kwanza. Kuna na fani nyingi si jambo baya ingawa unakosa ubobezi kwenye fani husika. Mie nimesomea zaidi ya fani nne lakini niliamua kubobea kwenye moja.
 
Watz tuna matatizo mtu anaanzisha thread ya kuuliza then aakumbia sijui huwa wanamaanisha nn

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Usihemke bure. Ukiona unaulizwa maswali lukuki kinyume na matarajio yako jua umechemsha kwenye kusuka mada yako. Hili ni jambo la kawaida wala uhitaji kuita wadau vimberembere na majina mengine ya ajabu. Kusoma fani moja au zaidi hutegemea na ulichosemea kwenye shahada yako ya kwanza. Kuna na fani nyingi si jambo baya ingawa unakosa ubobezi kwenye fani husika. Mie nimesomea zaidi ya fani nne lakini niliamua kubobea kwenye moja.

Kifupi mkuu,me ninastashahada ya juu ktk sayansi ya komputa,nataka nisome post,napata utata,je nisome post ya computing au fm...hapo ndo mahali ninapohitaji ushauri,isije ikala kwangu...
 
kama nimekuelewa
basi finance ndo bomba mno
inaajiri na itaendelea kuajiri...
 
kwa nini usisomee tu MBA?
masters in business administration?

ina cover maeneo meengi mno..
utakuwa na uwezo wa ku apply kazi almost popote

Aksante mkuu,vp nikipiga postg ya fm,af ndo nisome mba...
 
kusoma tena PG ya CS ni kulundika vyeti visivyo na maana mbeleni, CS unahitaji 1st degree tu hayo mengine unajiendeleza kwa online tutorials. Soma business ulingo ni mpana sana
 
Umesomeka mkuu,vp lakini kuhusu changamoto za ajira,manake nimekaa kitaa mwaka mmoja sasa...
 
Do what you feel/think will be good to you

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom