Kusoma degree mbili kwa wakati tofauti

Bachelor of science in education inakuruhusu kusoma masters ya special needs

Kwa njia hii utakuwa umepanua upeo wako zaidi kuliko kusoma bachelor mbili tena zote za education

Hapo ni sawa na kurudia kusoma kozi hiyo hiyo moja maana ukiangalia hata module zake zinafanana

Maliza bachelor of education kasome masters of education in special needs
 
Yep! Inawezekana. Mimi mbona nilisoma digrii mbili kwa wakati mmoja? Wakati niko 1st yr huku kule nilikuwa second year... Ila inabidi usiwe mtu wa madem ili kuweza kufanikisha hili...
Sikupenda kufanya hivi ila ile kozi niliyokuwa naipenda sikupata boom alafu kile chuo ambacho kozi yake nilikuwa siifagilii ndio nikapewa boom. So huku nasoma kwa ajili ya boom, kule nasoma kwa ajili ya ile kozi...
Ila ni kazi ngumu sana. Yani kwa semester nilikuwa nafanya UE 13, na kwa mwaka nafanya UE 26! Hapo hujajumlisha paper 1- 13, paper 2- 13, So kwa mwaka nilikuwa nafanya mitihani 52!
Nilipomaliza niliapa kutorudia tena huu mchezo...
Mwanzo mwanzo niliwachanganya sana watu. Wengine wanabishana kuwa Nichumu anasoma chuo fulani, mbona nimemuona huku anaingia darasani? Wengine wanasema, hapana, Nichumu tunasoma naye huku. Mbona tunaingiaga naye darasani!
Achaa uongoo wew tcu sio wapuuzi kiasi hicho, daa jf inawatoa pumba wengi
 
Nilisoma Bachelor of Engineering miaka minne ni kamaliza nikaona kama moyo sijautendea haki nikaenda MEDICINE
 
Ulipewa mkopo, mwenyewe huwa natamani nianze upya, hivi nitapewa mkopo kweli[/QUOTE
Huwezi kupewa mkopo mpaka uwe umelipa 50% ya mkopo unaodaiwa.Nilicho kifanya nilitafuta kazi nikusanya pesa bila kuigusa kwa kujinyama haswa nikapata ada
 
Pesa yako tu kunajamaa namjua alisoma degree ya mecchanical engineering akamaliza akaenda kusoma computer engineering yani kasoma miaka nane ni pesa yako tu na muda
duuh hilo haliwazekani yani degree mbili kwa wakati mmoja huku na huku hilo haliwezekani si kwa elimu ya bongo yetu hii pasua kicbwa afu course alizisoma ni moto
 
Wewe ndiyo hujui hata wakati wa TCU kuna jamaa alikuwa anasoma Comuter science IFM na BSC education OUT
System lazima inakutema huwez kuselectiwa vyuo viwil tofauti, mbona hili liko waz, mnashupaza shingo tuu
 
duuh hilo haliwazekani yani degree mbili kwa wakati mmoja huku na huku hilo haliwezekani si kwa elimu ya bongo yetu hii pasua kicbwa afu course alizisoma ni moto
Kwani yeye kasema kasoma kwa wakati mmoja? Si ashasema kasoma minne kwanza then baadae minne tena jumla 8
 
duuh hilo haliwazekani yani degree mbili kwa wakati mmoja huku na huku hilo haliwezekani si kwa elimu ya bongo yetu hii pasua kicbwa afu course alizisoma ni moto
sIku sema wakati mmoja mbona unapotosha! Angalia post zilizotangulia.
 
Kusoma kwa nyakati tofauti haina shida kabisa ila kwa wakati mmoja inaleta shida kwasababu sheria ya TCU Hairuhusu mwanafunzi kuwa admitted kwenye vyuo viwili au zaidi kwa wakati mmoja.
Sheria ipi imekataza???
 

Attachments

  • admission duplication.PNG
    admission duplication.PNG
    5.8 KB · Views: 53
Back
Top Bottom