Kusoma degree mbili kwa wakati tofauti

Tanayzer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,009
7,305
Wakuu habarini....

Hivi inawezekana mtu kusoma degree course mbili tofauti kwa kipindi tofauti...

mfano sahizi nasomea bachelor of science in education ila nataka nikimaliza niende nikasomee degree ya education in special needs...je inawezekana wakuu???
 
Pesa yako tu kunajamaa namjua alisoma degree ya mecchanical engineering akamaliza akaenda kusoma computer engineering yani kasoma miaka nane ni pesa yako tu na muda
Owly mkuu shukrani sana ngoja nifanye hii kitu huenda ikalainisha vyuma
 
Yep! Inawezekana. Mimi mbona nilisoma digrii mbili kwa wakati mmoja? Wakati niko 1st yr huku kule nilikuwa second year... Ila inabidi usiwe mtu wa madem ili kuweza kufanikisha hili...
Sikupenda kufanya hivi ila ile kozi niliyokuwa naipenda sikupata boom alafu kile chuo ambacho kozi yake nilikuwa siifagilii ndio nikapewa boom. So huku nasoma kwa ajili ya boom, kule nasoma kwa ajili ya ile kozi...
Ila ni kazi ngumu sana. Yani kwa semester nilikuwa nafanya UE 13, na kwa mwaka nafanya UE 26! Hapo hujajumlisha paper 1- 13, paper 2- 13, So kwa mwaka nilikuwa nafanya mitihani 52!
Nilipomaliza niliapa kutorudia tena huu mchezo...
Mwanzo mwanzo niliwachanganya sana watu. Wengine wanabishana kuwa Nichumu anasoma chuo fulani, mbona nimemuona huku anaingia darasani? Wengine wanasema, hapana, Nichumu tunasoma naye huku. Mbona tunaingiaga naye darasani!
 
Ndo maisha ya mjini hayo unaishi kwa boom la chuo soma degree hata nne ilimradi unapata boom
Yep, Yep! Hata mie nilisoma Masterz kwa ajili ya boom... Hii ilikuja baada ya kupata ufadhili wa kusoma Masterz... Unakula pesa ya boom la masterz ukijumlisha na mshahara mdogo wa Mhindi basi maisha yakawa yanasogea!
But all these things turn you wild. You become a very very busy person...
Ili ku meet ratiba zote, inabidi uwe unapepea sana gari katika jiji hili la Dar. Yani in real time you need to 'belong everywhere'... Bosi akipiga simu, you fly on the road dk mbili huyu hapa... Class ukisikia ticha kaibuka, you fly on the road and within a half an hour you are there...
 
Yep! Inawezekana. Mimi mbona nilisoma digrii mbili kwa wakati mmoja? Wakati niko 1st yr huku kule nilikuwa second year... Ila inabidi usiwe mtu wa madem ili kuweza kufanikisha hili...
Sikupenda kufanya hivi ila ile kozi niliyokuwa naipenda sikupata boom alafu kile chuo ambacho kozi yake nilikuwa siifagilii ndio nikapewa boom. So huku nasoma kwa ajili ya boom, kule nasoma kwa ajili ya ile kozi...
Ila ni kazi ngumu sana. Yani kwa semester nilikuwa nafanya UE 13, na kwa mwaka nafanya UE 26! Hapo hujajumlisha paper 1- 13, paper 2- 13, So kwa mwaka nilikuwa nafanya mitihani 52!
Nilipomaliza niliapa kutorudia tena huu mchezo...
Mwanzo mwanzo niliwachanganya sana watu. Wengine wanabishana kuwa Nichumu anasoma chuo fulani, mbona nimemuona huku anaingia darasani? Wengine wanasema, hapana, Nichumu tunasoma naye huku. Mbona tunaingiaga naye darasani!
hatari mkuu shukrani kwa ushauri ila mimi nataka nisome hii special needs nikimaliza maana lugha za alama huko wanateseka mno
 
Yep, Yep! Hata mie nilisoma Masterz kwa ajili ya boom... Hii ilikuja baada ya kupata ufadhili wa kusoma Masterz... Unakula pesa ya boom la masterz ukijumlisha na mshahara mdogo wa Mhindi basi maisha yakawa yanasogea!
But all these things turn you wild. You become a very very busy person...
Ili ku meet ratiba zote, inabidi uwe unapepea sana gari katika jiji hili la Dar. Yani in real time you need to 'belong everywhere'... Bosi akipiga simu, you fly on the road dk mbili huyu hapa... Class ukisikia ticha kaibuka, you fly on the road and within a half an hour you are there...
Kweli mkuu inahitaji use serious mno
 
Yep! Inawezekana. Mimi mbona nilisoma digrii mbili kwa wakati mmoja? Wakati niko 1st yr huku kule nilikuwa second year... Ila inabidi usiwe mtu wa madem ili kuweza kufanikisha hili...
Sikupenda kufanya hivi ila ile kozi niliyokuwa naipenda sikupata boom alafu kile chuo ambacho kozi yake nilikuwa siifagilii ndio nikapewa boom. So huku nasoma kwa ajili ya boom, kule nasoma kwa ajili ya ile kozi...
Ila ni kazi ngumu sana. Yani kwa semester nilikuwa nafanya UE 13, na kwa mwaka nafanya UE 26! Hapo hujajumlisha paper 1- 13, paper 2- 13, So kwa mwaka nilikuwa nafanya mitihani 52!
Nilipomaliza niliapa kutorudia tena huu mchezo...
Mwanzo mwanzo niliwachanganya sana watu. Wengine wanabishana kuwa Nichumu anasoma chuo fulani, mbona nimemuona huku anaingia darasani? Wengine wanasema, hapana, Nichumu tunasoma naye huku. Mbona tunaingiaga naye darasani!

Kwavile Ni JF kila mtu hujiandikia Stori anayoipenda
 
Kusoma kwa nyakati tofauti haina shida kabisa ila kwa wakati mmoja inaleta shida kwasababu sheria ya TCU Hairuhusu mwanafunzi kuwa admitted kwenye vyuo viwili au zaidi kwa wakati mmoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom