Habarini wakuu, kuna yoyote
anaweza nifafanulia tiba ya tatizo tajwa apo juu? korodani zangu pamoja
na uume vimeshrink sana, hii pengine ilisababishwa na punyeto niliyokua
napiga kipindi icho. kiukweli now nimeacha na ngependa kujua how to
recover!
i cant imagine kengele zikinyauka ile ngozi inabakije
Mkuu.@Grenade Kama ulikuwa unapiga Punyeto ni kweli Utapungukiwa na hizo nguvu zako za kiume hebu tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka-9.html
[h=2]Kusinyaa kwa korodani[/h]Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.
Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.
CHANZO CHA TATIZO
Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari na kujichuwa kwa muda mrefu kupiga Punyeto.
UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.
Tabia ya kujichua kupiga Punyeto kwa muda mrefu kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.
Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.
Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.
MziziMkavu. Barua ya Pepe, Email yangu ni hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Hapa kwa kuwa MziziMkavu; yupo hakika tiba umepata!
Wapi naweza mpata docta wa ukweli wa hizi mambo?
umenichekesha sana kwa angalizo lako mkuu teeh teeh teeh, kazi kweli kwa hiyo ngozi ilivyo lainii cant imagine kengele zikinyauka ile ngozi inabakije
Bora ulivyoacha mkuu ,oa sasa usije ukarudiaHabarini wakuu, kuna yoyote anaweza nifafanulia tiba ya tatizo tajwa apo juu? korodani zangu pamoja na uume vimeshrink sana, hii pengine ilisababishwa na punyeto niliyokua napiga kipindi icho. kiukweli now nimeacha na ngependa kujua how to recover!
Habarini wakuu, kuna yoyote anaweza nifafanulia tiba ya tatizo tajwa apo juu? korodani zangu pamoja na uume vimeshrink sana, hii pengine ilisababishwa na punyeto niliyokua napiga kipindi icho. kiukweli now nimeacha na ngependa kujua how to recover!
Mkuu ulipata msaada wa hii kituErection imepungua mkuu, nahisi naelekea kwenye upungufu wa nguvu za kiume, unanisaidiaje apo?